Pamoja Foundation watangaza ufadhili kwa wanafunzi wa kidato cha tano

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,692
2,000
Taasisi ya *Pamoja Foundation* inatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya kidato cha tano kwa mwaka 2017 kwa wanafunzi waliotimiza vigezo vifuatavyo:

1. Awe amehitimu kidato cha nne katika shule ya serikali mwaka 2016 na kufaulu kwa wastani wa Division I au Division II

2. Awe amechaguliwa kujiunga kidato cha tano katika shule ya serikali
3. Familia yake iwe haimudu kumsomesha
4. Asiwe na ufadhili mwingine unaomtosheleza
5. Awe mwenye mwenendo mwema

Maombi yanayoonyesha:
1.Jina kamili la mwanafunzi
2. Shule aliyomaliza kidato cha nne na namba yake ya mtihani
3. Wastani wa ufaulu (Division na Point)
4. Shule aliyo chaguliwa
5. Mchepuo atakao soma
6. Mahala anapoishi
7. Namba ya simu ya mzazi au mlezi

yatumwe kwenye namba 0738215550 au 0659348468 au email: pamojaft@gmail.com

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe *18/06/2017*
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom