K kaboka Member Feb 25, 2008 36 1 Apr 27, 2008 #1 Mlio Bongo Tupeni Matokeo Ya Mechi Kati Ya Simba Na Yanga
M Malila JF-Expert Member Dec 22, 2007 5,330 5,024 Apr 27, 2008 #2 Kwa majibu ya kishabiki ni kwamba Simba wamekataa kufungwa na Yanga.Kule jangwani pilau linaendelea
K kaboka Member Feb 25, 2008 36 1 Apr 27, 2008 Thread starter #3 malila,we mpenzi wa yanga nn?lete matokeo tujue,sasa hivyo unavyosema simba wamekataa kufungwa na yanga unamaanisha matokeo yapoje?
malila,we mpenzi wa yanga nn?lete matokeo tujue,sasa hivyo unavyosema simba wamekataa kufungwa na yanga unamaanisha matokeo yapoje?