Pambano la watani wa jadi; huyu ndiye aliyebebeshwa ndumba!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,054
24,440
e69655f451bae7003f34b5b3d73eaf4d.jpg

, mnaona hilo furushi hapo kiunoni?
 
Kweli tz tupo nyuma sana kiteknolojia. Tunakodisha waalimu mahiri kutoka nje ya nchi kuja kunoa timu zetu kumbe tungeweza malizia safari hapo Mlingotini Bagamoyo tu au Pemba. Poleni mnaodhani mpira utafikiwa kwa njia hii. Kumbe ndo maana hatujawahi kufunga timu zaidi ya ushelisheli
 
Back
Top Bottom