screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,776
- 15,671
Yes, tunachukulia poa mitandao ya kijamii ila hao jamaa ukiambiwa mkwanja wanaopiga kupitia YouTube pekee unabaki kushangaa. Ndio maana namuheshimu sana Millard Ayo hapa bongoJingine la kujifunza ni influence ya youtube na instagram ambayo kibongobongo tuna tabia ya kudharau. Nakumbuka posts za mwanzo kabisa za mayweather vs logan walitaja namba zao kwenye insta.