Pambano la Hassan Mwakinyo Vs Tinampay kutoka Filipino haki ilitendeka?

Shilandula

Member
Nov 30, 2019
6
45
Pambano la Hassan Mwakinyo Vs Tinampay kutoka Filipino bado lile pambano lipo akilini Kwangu.

Infact niliacha kutazama TV Round ya Nane baada ya kuona hali ngumu upande wetu nikaenda kulala.

Asubuhi nakuta Mwakinyo Kashinda ila mitandaoni hasa Insta nikakuta malalamiko mengi ya Watz wakidai kapendelewa.

We mdau ulilionaje pambano?

By Shilandula
 

popie

JF-Expert Member
May 28, 2016
791
1,000
Mwakinyo alishinda kihalali kwa wasiojua ngumi hawataelewa, mwakinyo round ya kwanza hadi ya 4 alipiga ngumi za points ambazo nyingi ziliingia kichwani kwa mpinzani, yule mfilipino alikuwa anarusha ngumi ambazo hazina points nyingi, alikuwa anapiga tumboni na mikaononi pamoja na kwenye viwiko vya Mwakinyo, sema tu mwakinho pumzi zulikata maprma na mara nyingi alikuwa ana defense kuanzia round ya 7
 

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
1,904
2,000
Hata goli la offside ni goli lkn halikubaliki, sheria lazima ifuatwe.
Hivi ngumi zisizo na point haziumi??

Ukiwekewa milioni 10 tyson akupige ngumi tatu zaa mbavu ambazo nyinyi mnadai hazina point utakubali??
 

popie

JF-Expert Member
May 28, 2016
791
1,000
Hivi ngumi zisizo na point haziumi??

Ukiwekewa milioni 10 tyson akupige ngumi tatu zaa mbavu ambazo nyinyi mnadai hazina point utakubali??
Hata uking'atwa itauma ila ngumi za uso ndizo zenye points nyingi sio hizo za tumboni kwa mtu mwenye mazoezi ukipiga tumboni ni kupoteza muda tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom