mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
- Nani muanzilishi?
- Inakusudi gani katika jamii?
- kwani kabla ya uwepo wake, watu walikuwa wanapambana na hali za nani?
- Je, inauhusiano wowote na siasa?
Nawaza...
Wataalamu wa tungo na misemo msaada hapa....