PAMBA YAICHAPA POLISI MARA 3-2 DIMBA LA CCM KIRUMBA, Ubingwa DARAJA la KWANZA TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PAMBA YAICHAPA POLISI MARA 3-2 DIMBA LA CCM KIRUMBA, Ubingwa DARAJA la KWANZA TZ

Discussion in 'Sports' started by nngu007, Oct 25, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  [h=3][/h]


  [​IMG]


  NA ALBERT G. SENGO:MWANZA


  Ikitumia Vyema uwanja wake wa nyumbani Pamba Fc ya Mwanza leo imeanza vyema mchezo wake wa kwanza kundi C ya Ligi ya soka Daraja la kwanza ya Tanzania bara kwa kuichapa Polisi Mara kwa mabao 3-2.
  [​IMG]  Magoli ya Pamba yalifungwa na Mathayo William dakika ya 3, Shahban Makoba dakika ya 61 na Mashaka Kiumba dakika ya 70.


  Upande wa timu ya Polisi Mara magoli yake yalifungwa na Kaichi Kaichi kwenye dakika ya 4, na Athumani Matutu aliyefunga bao la pili dakika ya 90.

  Makocha wa timu zote mbili walipata fursa kuzungumza na Sports Xtra juu hali ya mchezo na nini matarajio kwa mechi zinazofuata za kundi C, Ligi soka Daraja la kwanza Tanzania bara.

  [​IMG]

  Msikilize Wa kwanza ni kocha wa timu ya Pamba ya jijini Mwanza Ibrahim Mulumba..


  [​IMG]


  Naye kocha wa Polisi mara Hafidh Salim amewaumu wachezaji wake kuingiwa kitete na mchezo huo wakiacha maelekezo yake na kucheza kila mmoja kimpango wake...
  MWISHO

  SOURCE; G SENGO
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Wish them a comeback to premier league...
   
Loading...