Pamba Soccer Team

Mdau kwa ufupi ile ilikuwa timu. Namkumbuka namba 5 wao joram mwakatika, fumo felician, dah ngoja niache maana nchi hii vipaji vipo lkn havikuzwi
 
​Vipaji vitakuzwa vipi wakati wanawaleta cjui akina Niyonzima,Okwi,Kiiza etc???kwa mpira upi??/
 
Hussein Masha, George Gole (Mami), Nteze John Lyungu, madata Lubigisa...
 
Aisee! Pamba FC ilikuwa timu, hata kwa kuisikia tu unapata radha yake kuliko Simba na Yanga!
Pamba inaweza kuinuliwa na watu wa Mwanza tu siyo TFF, igeni ya mfano wa Mbeya city!
 
I summon all "Wananzengo".... let's put our acts together and restore our beloved team...Pamba Soccer Team NOW!
 
1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,
5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
 
1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,
5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
Umemsahau Madata Lubigisa kama golikipa wa akiba...bila kuwasahau Kitwana Suleiman na Deo Mkuki..
 
Hili chama acha 2, lilikua timu ya taifa ya kanda ya ziwa. Watoto wa kigoma ilikua lazima wapite hapo ndo waende simba na timu ya taifa
 
Bila kuwasahau Mohamed Saleh, Alphonce Modest, Ali Bushiri, Paschal Mayala, Nteze John "Lungu" na Msonga Rashid..
 
Pamba iliwakilisha Kanda ya Ziwa na Taifa kwa ujumla kwa kiwango chao cha soka. leo hii ni Timu kama Baca au Real Madrid wanao piga soka ambalo Pamba walituonyesha miaka ya 90's. Kumbuka maji huwa hayasahu mkondo wako. We can raise the sleeping giant today.
 
Topic imeanza vingine, watu wanaishia kutaja listi ya wachezaji wa zamani wa Pamba. Majanga.
Kuna habari nimepata kwamba kuna watu wa Mwanza na wasukuma wenye mahela walio Dar wanajikusanya wawekeze. Navyoelewa usajili wa sasa wameshachelewa na kuchemsha. Ni kwamba mipango inaanza kwa kushitukiza sana.
Ili Pamba irudi, lazima mipango iwe ya kisasa na huko mbeleni timu iweze kujiendesha yenyewe. Kutegemea wafadhili hailipi, itafika sehemu wafadhili watachoka. Timu ya Pamba iliweza kutisha sababu ya pesa iliyokuwa inamwagwa na bodi ya Pamba. Nakumbuka pia watu wa Mwanza kuna kipindi walikuwa wakichangia mfuko wa timu ya Pamba kwenye stesheni za mafuta, mtu akinunua lita ya mafuta anaongezea shilingi ngapi sijui.
Watu wakiwa na nia kuiendeleza Pamba na ikaonekana kweli nia ipo, mimi nitakuwa tayari kujikita kusaidia upande wa vifaa. Mambo sijui ya kuifanya Pamba iwe tawi la Simba au sijui timu gani, haitafaa. Mkoa wa Mwanza una vipaji sana vya mpira. Watu wana uchu sana na timu nzuri ya mkoani. Toto African (tawi la Yanga) haikubaliki kihivyo.
 
Zungumzeni na mkuu wa mkoa muanzishe account maalum halafu mnaandaa mpango wa kuchangia tigo pesa, mpesa etc tutawachangia
 
Naziumbuka jezi zao nyeupeeeeee, halafu zimeandikwa kifuani Pamba kwa Thiodan. Kuna mchezaji wa pamba alikuwa mwembamba sana wakimuita mbu ila akiweka stendi baba huchukui mpira, jina limenitoka
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom