Pamba nyumba kwa bei nafuu

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
650
707
f2fcb25c7c5a40ae4cba3a9095a14bfb.jpg
. 0769 269630
 
Mhdiwani wa viti maalum ndo Tangazo limeisha?
Nimeweka mawasiliano mkuu lkn kwa faida tu kwamba tunatengeneza kwa ubora kbs na kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane hio picha hapo nipi mbeya tukuyu ndo nadizain kwahio kwayeyote atakae hitaji tuwasiliane bei zetu ni nafuu na tunafyatua pevin hapo hapo site
Karibu
 
mh diwani; najua sifa zenu zishawekwa bayana, ni kujua kusoma+kuandika tu. basi hariri uzi wako; pandisha haya maelezo hapo juu kumwepusha usumbufu mdau aliyepo zanzibar kudhania aweza kufanya biashara na wewe.
 
Sawa mkuu lkn kwa faida tu ni kwamba nimetokea dar nimekuja mbeya kufanya hii kazi kwahio hata Zanzibar naweza kwenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom