We ukafanyiwe upasuaji wa kichwa!Jmn habari zenu naomba msaada wenu nilikuwa nasafisha sikio kwa Banat mby pamba imenasa ndani hata kuonekana haionekani icho kipamba msaada ndugu zng
Watu kwa kutishana humu simple tu nenda hospitary watajua wanaitoaje.We ukafanyiwe upasuaji wa kichwa!
Lahaula!We ukafanyiwe upasuaji wa kichwa!
muda wa kupost humu unautoa wapi badala ya kwenda hospitali?unatafuta kiki?nenda kwa bodaboda wenzio ukae na yule vehicle!Jmn habari zenu naomba msaada wenu nilikuwa nasafisha sikio kwa Banat mby pamba imenasa ndani hata kuonekana haionekani icho kipamba msaada ndugu zng
ommydee ulikua unasikia utam nnJmn habari zenu naomba msaada wenu nilikuwa nasafisha sikio kwa Banat mby pamba imenasa ndani hata kuonekana haionekani icho kipamba msaada ndugu zng