Palm strips secrets

Benzodiazepine

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
645
1,000
Yaani mtu anaacha kupambana kwa kuongeza connection (watu sahihi), maarifa, ujuzi na juhudi ili kupata "mkate" wa kila siku, na badala yake anategemea mafanikio kwa kuamini na kufuata Mambo ya Nyota au Alama za Viganja (palm strips).
Aisee, hizi imani potofu ni kazi kuzimaliza.!! Imani potofu kama hizi ni za kukemea, ni aibu.!! Hazifai kwa ustawi wa kizazi hiki na kijacho.
Yaani umuambie mtoto kuwa hatafanikiwa kisa ana alama flani katika Kiganja cha Mkono wake !?? Aisee ni aibu!! Hii ni imani ya kipuuzi na imepotoka haswa!!
My take:-
Mafanikio ni kama kupata alama "A" katika somo la Mathematics, siyo kila mtu atapata, ila tusichoke kuongeza juhudi kutafuta hiyo alama "A".
Juhudi zinaweza kuja na mengi mazuri pale tutakapokuwa na Watu Sahihi, Maarifa, Ujuzi, Takwimu na Taarifa muhimu.
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
12,401
2,000
Yaani mtu anaacha kupambana kwa kuongeza connection (watu sahihi), maarifa, ujuzi na juhudi ili kupata "mkate" wa kila siku, na badala yake anategemea mafanikio kwa kuamini na kufuata mambo ya nyota au alama za vidole.
Aisee, hizi imani potofu ni kazi kuzimaliza.
My take:-
Mafanikio ni kama kupata alama "A" katika somo la Mathematics, siyo kila mtu atapata ila tusichoke kupambana kutafuta hiyo alama "A". Tuongeze Juhudi tu.
Juhudi zinaweza kuja na mengi mazuri pale tutakapokuwa na watu sahihi, maarifa, ujuzi, takwimu na taarifa muhimu.
jukwaa letu ni la infos mbali mbali as a hobby baada ya kazi ni kama mapumziko fulani wengine wako mipirani wengine wapo bar wengine wapo guest huu tunauita mgawanyiko wa UTASHI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom