Pale unapopewa namba na mdada wa Facebook alafu akakutumia picha yake WhatsApp

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Wale wapenda picha inawahusu hii hapa ni pale unapopewa namba na mdada wa facebook alafu akakutumia picha yake whatsapp na hayo ndio huja kutokea.
IMG-20181023-WA0022.jpeg
 
Sasa mbona demu mzuri ila muonekano unategemea na factor nyingi kwa hapo
_Camera
_Kutokuwa serious

dogo ajawa serious na photo kuanza na kuseti nywele vizuri then kuweka pozi mfano mimi kuna picha ambazo sipo serious nikikupostia sura mbaya kishamba ila nikikutumia photo ambayo nimekuwa serious na photo mimi mtu mmoja ambaye handsome vibaya sana kuna demu mmoja akiangaliaga picha zangu mwenyewe anakubali mimi HB.

Kingine uyo mshkaji ni mshamba nabulula anareta ishamba kama wa mkaliwenu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom