Pale unapopewa namba na mdada wa Facebook alafu akakutumia picha yake WhatsApp

Sura hiyo hiyo lkn awe na chura mfano kakutumia hiyo picha ukamkandia halafu anatuma full mtoto chura Wema anasubiri nakwambia wote mtaomba namba humu jf. Wapo hao sura humwangalii mara mbili Ila chura inawaliza wanaume!
 
What the hell, hivi kuna watu wako attracted na butts za Wema!
 
Ila baadhi ya wanaume wanadharau jamaani khaaaa. Yaani hiyo msg ya chini tu baada ya picha imenichefua.

Na hapo utakuta ako kajamaa kalikoandika hapo hakana nafuu wala afadhali zaidi ya kumiliki simu inayotumia Whatsapp. Teh teh teh.
 
Huyu demu ukimpiga maji na matunzo mazuri + mafuta ndani ya week moja utamkuta kanawiri hutaweza tena kumfananisha na vitu vya kijinga.....

Halafu huyu demu utakuta mtaani kwake kuna jamaa anawinda miaka na miaka kutogoza hakubaliwi....
 
Back
Top Bottom