Pale unapopewa namba na mdada wa Facebook alafu akakutumia picha yake WhatsApp

.
tapatalk_1537372311861.jpeg
 
Sasa mbona demu mzuri ila muonekano unategemea na factor nyingi kwa hapo
_Camera
_Kutokuwa serious

dogo ajawa serious na photo kuanza na kuseti nywele vizuri then kuweka pozi mfano mimi kuna picha ambazo sipo serious nikikupostia sura mbaya kishamba ila nikikutumia photo ambayo nimekuwa serious na photo mimi mtu mmoja ambaye handsome vibaya sana kuna demu mmoja akiangaliaga picha zangu mwenyewe anakubali mimi HB.

Kingine uyo mshkaji ni mshamba nabulula anareta ishamba kama wa mkaliwenu.
Mwanaume wa dar unajisifia kuweka pozi zuri huku ukiwa "siriazi" ili uonekane HB,hahah
 
acha kupenda kitonga, unataka aliye hudumiwa tayari.huyo ukimtunza ni bonge la chombo sema ni vile usha athiriwa na camera 360
 
Back
Top Bottom