Pale unapopata ajali mbele ya warembo halafu ukajaribu kuzuga

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,110
27,092
Pale unapopata ajali mbele ya warembo halafu unajaribu kuzuga

kuzuga.jpg
 
Last edited by a moderator:
Unanikumbusha kuna jamaa angu mmoja hivi, siku hiyo mvua ilikuwa inanyesha sasa kuna mahali tulikuwa tunacheza PS huku machizi wengine wapo nje walikuwa wanakunywa kahawa. Wakapita mabinti wawili wakiwa kwenye mwanvuli mmoja. Sasa manyunyu yalivyokuwa yanazidi wakafungua mwanvuli wao, upepo ukaongeza kasi ya kujifungua kwa hiyo mwanvuli ukajibetua kwa juu.

Sasa wale wasichana wakawa wanaushika vizuri ili usijibetue tena. Mshkaji yupo " Angalieni washamba hao hamjui hata kufungua mwanvuli. Msizuge kujifanya kuushika kwa juu, washamba tu hamjui kufungua mwanvuli nyie".
 
Back
Top Bottom