Pale unapompeleka mwanao akasomee na yeye anaenda ku..

Hahah
Walikuwa kwenye kipindi cha mapenzi bana, maana nasikia hicho kipindi kimeanzishwa mashuleni ili watu waweze kuishi kwenye ndoa vizuri ña kuweza kupata mafunzo ya ndoa, maana ndoa za siku hizi hazidumu, hicho kipindi kimeanzishwa ili kuwezesha ndoa zidumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom