Pale unapokutana na Mwenyekiti kwa mara ya kwanza

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,401
Furaha ya kweli kutoka moyoni!🤗🤗🤗Shangazi alievaa blue roho yake imesuuzika kwa furaha kwelikweli.

0987uh11.jpg
ASxuJ.jpg
 
Alimla mama ako?
sasa suala la hizo siasa linaingiaje kwa mamayangu? yaani chadema siasa hamuwezi ndiyo maana mbowe anawaona nyie wote wajinga ila yeye tu ndiyo mwenye akili kwamba hakuna mtu wa kuweza kuendesha chama ila yeye tu na nyie mnaitikia mmemfanya ndiuyo mungu wenu mnajijiua kabisa hamna akili ila mnakuwa wabishi kukubali
 
Back
Top Bottom