pale unapokumbuka shuka,wakati kumekucha!!!!

CTX

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
1,273
984
22815212_188029721768476_8173056842594885861_n.jpg

wadogo zetu wa form four mungu awatangulie kwenye mitihani yenu..
 
Wanalo awamu hii yaani vyuma vimekaza mpaka kwenye chabo
mzee Magu hufai hata bure utasababisha wajukuu wetu wapofuke kwa kupiga chambo kwa nguvu
 
Nipo nasimsmia mitihan shule fulsn huku kigoma aisee watot wanatoa macho hao mpaka unahisi huyu mtoto anakata roho au nn kumbe WAP?
 
Nipo nasimsmia mitihan shule fulsn huku kigoma aisee watot wanatoa macho hao mpaka unahisi huyu mtoto anakata roho au nn kumbe WAP?
Kwa kiswahili hicho hakuna msimamizi hapo au wewe ni mgambo mkuu..
 
Back
Top Bottom