Pale unapokumbuka bado miaka saba alafu huna Unga, mtoto anaharisha, Jipiei yenyewe 32. '' Wanaume tumeumbwa matesooo''

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,570
15,319
7634240_7625464img20180824125945933jpegc9013633531e50fae4984855b19a0a0f_jpeg66281f14ca1b6a6074b9c3797944ca2e
 
Apo Demu uliyesoma nae, kapata danga la maana, kwanza chuoni, alifaulishwa, na interview kapewa ofa, anakushangaa huna kazi wala hela ya kumpa.
 
Apo Demu uliyesoma nae, kapata danga la maana, kwanza chuoni, alifaulishwa, na interview kapewa ofa, anakushangaa huna kazi wala hela ya kumpa.
wanaume wanaojilinganisha na watoto wa kike wanafeli.
atakuwa aelewi kwa nini mkuu mmoja alisema mwanaume ukijenga nyumba ni ya familia, lkn mwanamke akijenga ni yake hata kama unaijua.
 
Buku?? huyo jamaa ako na shida. Mimi naaminigi wanaume hawafualii na hawatakiwi kufulia

Sent using Jamii Forums mobile app
nikioa mke kwa wewe inabidi ile jpieii ya 32 iishie kwenye makaratasi tu nitafute jipieii ya Tano kwenye kutafuta fwedha. maana mshiko utakuwa ndio litmus pepa ya mapenzi, muda wowote yanaweza kubadili rangi kutoka Blue kwenda redi.:cool::)
 
Hahahahaaa... inategemea na kipato chako. Ukioa mke kama mimi tutaishi vizuri kwa sababh tutawekeana majukumu ya kila mtu kutimiza kwenye familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom