Pale mwizi anapopata msaada....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
1479893012876.jpg
 
Hivi huwa ianfikia stage wanalia?Kuna mtu alishawahi kuniambia hawa jamaa huwa ni wagumu sana kulia wanapokuwa wanapata kibano.
 
Kuna mmoja alikuwa analazimisha kujaa kwenye combat ya mwanajeshi haamini kama ameokoka mikononi mwa raia wenye hasira kali
 
Hapo ni kama mlango mkuu wa PPF Towers. Hao vijana ndo huwa wanaangalia watu wanaotoka benki na kuwafuatilia then kuwapora njiani.
 
Hivi huwa ianfikia stage wanalia?Kuna mtu alishawahi kuniambia hawa jamaa huwa ni wagumu sana kulia wanapokuwa wanapata kibano.
Usicheze na kifo, huwa wanalia ila wale sugu zaidi machozi huwa hayatoki, wanalia kijeshi tu, sauti kubwa sana na mbaya ila machozi hayatoki hata wajilazimishe vipi.
 
Usicheze na kifo, huwa wanalia ila wale sugu zaidi machozi huwa hayatoki, wanalia kijeshi tu, sauti kubwa sana na mbaya ila machozi hayatoki hata wajilazimishe vipi.
Hao wa kwenye red mkuu wakirudi Segerea/Keko wanakaribishwa na wanatoa latest za kitaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom