Pale mwanamke anaponogewa na penzi

OYO: Usije ukasikiliza ushauri wa jinsi ya kumtreat mwanamke kutoka kwa mwanamke hata siku moja.

Ni sawa wewe ni Simba halafu ukutane na swala anakufundisha jinsi ya kukamata Swala na kuwala vizuri.

itabidi utafute Simba wazoefu ndo wana ushauri wa maana
Mkuu umewaza deep sana😂😂😂 unaeza ingizwa chaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom