Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Nimempenda huyu bibi jamani! Halafu vijana na nguvu zao wanakuja wanalilalia hapa!
Huyo bibi amefikia huo umri ndio amekumbuka kwamba kunakujenga nyumba. Inamaana miaka yote alikuwa anawaza nini? dah kweli hii dunia ya ajabu.
Na kama ni wa Kagera, waliokula rambirambi Mungu atalala nao mberree.Wanafiki chadema wanaingia mara 1000000 kwa huyo bibi.
Ufipa kila kukicha ni kubadilisha ngonjera za kulialia ili wapewe msaada, majitu mazima hovyo kabisa.