Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!

Leo nimekaa imenibidi niseme, sababu nipo kikazi as advocate of gender equality and enforcer of women rights i was waiting all this time TAMWA, TAWLA, UTU Mwanamke tu etc waongeee hii issue ila hawakuongea.

Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.

As jamii naanza kuongea naomba kina Mange Kimambi, Mrekebisha tabia nao waongeee, serious women activists tuangalie hili swala kwa jicho la 3.

History ya Diamond women abuse goes way back, and all these abuses are documented katika tabloids and anahojiwa na kukubali kafanya, even in some interviews zipo online nimezikusanya anakiri kabisaa na anaona sifa kwa unyanyasaji wake dhidi ya wanawake. The best part is internet never forgets.

Ningenyamaza but it is not okay kwa musicians na vijana wadogo zetu kama Dai kuona it is okay kunyanyasa wanawake watakavyo, well it is not. Mwanamke lazima aheshimiwe.

Diamond alimnyanyasa sanaaa, sanaaa, sanaa Amisuu Maliki, yule Miss Ilala, shombe shombe. Alimsingizia katembea nae gazetini. Yule binti alihangaika kujisafisha sema ndo hivo mtu maarufu keshaamua kukuchafua utafanyaje?

Kwa watu wa asili ya kiarabu alimuharibia maisha mpaka yule binti kakimbia nchi, sijui yupo China sijui yuko wapi na kisaikolojia ashapotea. He got away with it sababu yule binti kama wengine hakuwa kasoma, wala hakuwa na nguvu ya kupambana na Diamond.

Akaja kumnyanyasa sanaa sanaa Wema Sepetu. Alikuwa anampa vipondo heavy mara kwa mara. Shame on you Wema kwa kuwa so blind in love kwa kushindwa kureport na kuona sawa tu vipondo ulivyoshushiwa. Na alikiri kwenye Amani (gazeti), picha ipo, makala ipo kuwa ndio anampiga Wema sanaaa, kwa sababu ni jeuri. Watu wakaona sawaaa tu, si kataka mwenyewe.

Interviews nyingi sanaa amekuwa anatoa verbal abuse dhidi ya ma ex wake, live on air. Anatukana wadada hakuna mfanooo. Sababu ma ex wake ndo hivo tena wadogo, shule ya wasiwasi wanashindwa kupambana nae, wanabakia victims tu. Shame on you Jokate kwa kushindwa kuchukua lawsuit againts hii woman abuser. Hizi interview zipo online na huyu mtu hajawajibishwa mpaka kesho.

Kwa wenzetu mtu mwenywe historia ya Diamond hafai kuwa endrosed na kampuni yoyote hata ya mfukoni. Shame shame shame on you Voda and RedGold kwa kumpa huyu mtu endorsement. Vodacom aliesapoti hii ishu ni jipu na atumbuliwe. Tigo wamechukua Joti very clean, hana harufu ya women abuse charges. Shame shame shame on you Voda. Line yangu nishaiflush chooni i cant roll with a company yenye women abuser as their brand ambassador. Hapa ni Tigo baby mwanzo mwisho.

Chris Brown alivompiga Rihana was stripped all his endorsement deals. He has spent 7 years apoligising, giving interviews, being on the front bench ku advocate alichofanya sio sahihi na kuelimisha jamii kwamba ule sio muelekeo na till date hana endorsement ya maana na some countries kama Australia amenyimwa visa entry for something he did 7 years ago.

I call all the women verbally or physically abused by Diamond to speak up even in their Instagram pages, msiogope backlash, we have to break the cycle of silence. Sababu wote mko hai find the courage to do so.

Hata waliokuwa abused na billy cosby it took them 20 years even more kuongea the minute wameongea he lost all his endorsements and was stripped all his honorary degrees and tittles sababu he is a noble citizen.

Goodluck Voda kwa kuwa na brand ambassador mwenye Dj mbakaji na alishawahi kumpiga Gf mpaka mimba ikatoka na aka-confess kwenye interview. What a brand image!

NA ILE MIBANGO YENU YENYE DJ MBAKAJI MWENYE RB VEPEEEEEEEEE! MFANYE MUITOE MAPEMAAAA HIZI HABARI ZIKO MBIONI KWENDA MEDIA MediaTakeOut.com™ 2014 ULE MBANGO UKIFIKA HUKU NA RB YA DEBBY NA HIVI HAWAJAMALIZANA NAE DOLLA ZAKE HAJALIPWA MJUE NI ITAKUWA GLOBAL SCANDAL NCHI KIBAO ONE BRAND!

HABARI ZIKO NJIANI KUELEKEA HUKO NA BLOG ZINGINE GOBAL FANYENI MTOE MIBANGO HIO. OOOOHHH!

ITAKUWA MAJIPU MAWILI;

1. KUKURUPUKA NA
2. KUTOCHUKUA HATUA MADHUBUTI KWA WAKATI
 
Kutokea wapi haijalishiiii wala haihusiani. Kwa hio wote wanaotokea chini sanaa wa abuse wanawake tu simply because the society will understand? HELL TO THE NO!

VALUES, NORMS, RESPPECT, DISCIPLINE NDO PILLARS ZA JAMII YETU. VODA WALIKURUPUKAA NA ALIEFANYA HIO KITU NI JIPU NA ATUMBULIWE. HAPA NISHADRAFT EMAIL KWA LINDA IKEJI, SOUTH HUKO MAKAO YAO MAKUU AFRICA, HATUWEZI KUFUMBIA MACHO MAMBO KAMA HAYA.

Mimi ni mtu mdogo sanaaaa, saanaaa but i can make effect kama nikikomaaa na hii ishu. Watu wengi wanaiona ila basi tu kuendekeza ukimya wa ajabu ajabu but i know i can make effect. Mambo mengi yalianzia na watu wadogo. Hata uhuru wa nchi ulianzia Posta kwa matax dreva kina Late Rashid Mfaume Kawawa watu wadogo sanaa nchini.
 
mgombea uvccm2017

Hahahaaaa! TZ SIO KAMA USA ILA TANZANIA KIKATIBA NI NCHI INAYOLINDA HAKI ZA WANAWAKE, NA INAPROMOTE GENDER EQUALITY. Na inachukulia mambo ya wanwake very serious, please revise your CIVIC NOTES ujue Tanzania imefanya jitihada zipi since 1961 kumkomboa mwanamke na unyanyasaji.

VODACOM GLOBAL INAJALI SANAA SANAAA BRAND IMAGE YAKE AND I WILL MAKE SURE I WILL BRING TO THEIR ATTENTION HILI JIPU HAPA TANZANIA AMBALO LIMEIVA MPAKA LINATUMBUKA LENYEWE.

Joti hana scandal kama anayo PLEASE SHARE na yeye anatumbuliwa tu.

Mange is a woman rights activist, mrekebisha tabia, usipojipanga nitakupanga etc, na wote watapata hii nakala kuiwasilisha kwenye jamii.

CALLING ME STUPID DOESNT JUSTFY TO THE LIST ALL THE INTERVIEWS HE JUSTIFIED AND ADVOCATED VIOLANCE AGAINST WOMEN.

Jipange upyaaa hii imewakalia vibaya.
 
Mmmhhhh inaonesha amekushika pabaya
Mpaka unaongelea kwa hasira zootee.mi naona bora umuache tu na maisha yake
Maake kwenye kuamua kuna kuangalia faida na hasara
Kweli Diamond ana faida nyingi kwa Tanzania hata kuliko msanii yeyote yule
Kingine kweli kabisa ni haki Wema kupigwa kama alikuwa anapigwa maake wema hana akili nzuri yule
Kingine sioni haja ya wewe kuwa unamsifia wema (tangu posts za awali) wakati tabia ya wema inawachafua nyie wanawake
Kingine kila mtu ana njia zake za kufikia marengo.mwingine anatafta skendo akishapata umaarufu anaacha hzo skendo

Kwa kifupi;
Ni kuwa fata maisha yako na acha kuwa mshabiki maake ushabiki sikuzote unaleta chuki ambayo chuki sio nzuri
 
african traditions nyingi mwanamke hana respect... cheki muswati, zuma, na hata mitaani wanawake wanavyonyanyaswa...

na kama ingekuwa mtu msafi.. ndio vodacom inawahitaj mwamvita makamba asingekuwepo vodacom...

mambo ya mapenz ni personal kwa africa sio ishu... utavyoshangaa atapewa dili na tigo pia soon... diamond ana nyota kaliiiii
 
Hivi, kati ya Diamond Platnumz na Vodacom TZ nani anamu endorse mwenzake?

For little that I know, it is Diamond Platnumz who endorses the Vodacom brand and not the other way round.

But then again...what do I know? Lil 'ol me....a lonely miserable curmudgeon.
 
Ulichoongea ni kweli kabsaa kuhusu Daimond na hizo kampuni, lakini nadhani huko nchi zote ambako kampuni zilichukua hatua nadhani baada ya Mahakama kuthibitisha kuwa kweli katenda kosa, Kama walofanyiwa hayo hawakuwa tayari kwenda Mahakamani na hivyo vidhibiti unadhani hili swala litasimamiwa vipi kisheria?? Mpaka hayo Makampuni yaweze kuvunja nae Mkataba??

Kuhusu kesi ya Rommy yule ni mtu mzima, uchafu wake hauwezi hamishiwa kwa Diamond, Na kingine hivi kweli mpenzi wako anaweza kukubaka?? kama umeamini maelezo ya Meneja wa Diamond kwamba jamaa alifanya kweli na alikuwa kalewa nadhani ULIMSIKIA SALAM HUYO HUYO AKISEMA KUWA TAYARI YULE WALIJUA NI SHEMEJI YAO, KWA JINSI MIENENDO MSG WALIZOKUWA WAKICHAT NA ROMMY. Huyo Debora nae anatakiwa kuwa muwazi Rommy hakuwa mpenzi wake????
 
The choice is theirs..to be victims or victorious.

Hapana kama jamii lazima tuongee. Victim anaweza asijue anakuwa victimised, au akaogopa sababu victimiser is so powerful akanyongea kuwa nani atamuamini hata akisema. Well hawa sababu washakuwa victmised ishatokea.

ILA KAMA JAMII NA WATU TUNAOJIELEWA LAZIMA TUONGEEE HILI SWALA, KUSUDI KUEPUKA KIZAZI KINACHOONA WANAWAKE NI WATU WA SIO NA MAANA. KUMNYANYASA MWANAMKE PUBLICLY IS VERY OKAY SABABU SHERIA SIO BANAJI SANAA, BASI NDO FULL KUJIACHIA.

HATA JAMII TUKIWA TUNA PASS SOCIAL JUSTICE KAMA HII KUONGEA HADHARANI KWAMBA KITU FLANI KILICHOFANYWA NA MTU FLANI ENZI HIZO AKIKUWA SAHIHI. ITAWAJENGA VIJANA WENGINE KUTOPITA MULE MULE KWENYE MAKOSA YA WENGINE.
 
Kwani kitu gani diamond kama daimond kafanya kibaya
Rommy kasema alikuwa mpenzi wake na hata chatts zao kasema anazo
 
Back
Top Bottom