Pale HG anapokuheshimu na kukuhudumia kuliko wife

nyie wanaume banaa, mna akili kuliko sie lakini hamuwezi kuzitumia. mwanamke ukimjulia atakuhudumia kama punda na hachoki! kama na ww uko kwa pc na jf afu unasema 'naomba chai', hata humuangalii usoni mkeo unadhani atafanyaje zaidi ya ku-shout 'dadaaaa, chaiiiii'! badala ya kumvuta mkeo, umnyang'anye remote na kumbusu kidogo umuambie mke wangu,nna hamu na chai yako manake dada hajui kutengeneza chai kama ww. undahani atakataa? umetamani harufu naturale ya mkeo, ushamuambia 'mpenzi, usipulizie perfume leo,nna hamu na harufu yako mwenyewe..' halafu akakujibu kwa ujeuri?
unakaribisha shida baba. utatembea na huyo dada na watoto wako watakiona cha moto! kuna moto wa mama yao, na wa dada anayejitahidi awe mama yao. urudi hapa professor tutakushauri tena ukishavaa balaa
Wadau, najua hoja nyingi zimo humu kuhusu hawa wasichana ambao ni "natural"! Unajua wife hapa ninapochar kashika remote anachange cahnnel tu kwenye dish akkiagiza hili na lile, na nimetoka kuomba kikombe cha chai, lakini kamuagiza HG alete, zaidi nimeanzisha hoja fulani hapa nilichojibiwa najua mwenyewe na nilipouliza mbona unajibu hivyo ndo kabiosa mazungumzo yakaharibika... wakati huohuo namwita dada hebu nichekie kama kuna t-shirt iliyopiugwa pasi ananiitikia ndiyo baba na fasta anailete na kubonyea kidogo kwa heshima na anapoondoka naniachia harufu flani ay natural inayonihakikishia mambo yameiva napagawa... mama kapiga pafume ajabu hata sijui tena harufu yake ni ipi...

Usisahau asubuhi nikiamka ninaekutana nae ni dada, kafunga kanga moja na kama kawa anaandaaa chai fasta na kwa heshima zote, usisahau mambo yote ya mtoto anasimamia dada, kumuogesha kula na akilia anambembeleza yeye... na mama kasisitiza alipwe elfu 20,00 tena baada ya kusisitiza kwa umakini...

Jamani acheni tu sijui kama itakuwaje mi ni mtu mzima ila hapa ni tatizo kwa kweli... Nimepoteza hata uwezo wa kumshauri wife kwa kiburi alichojenga maana hata lugha haiko kama vile basi tu hakuna sababu ila sijui ndo kunizoea au vipi... wadau huko kwenu sijui kukoje
 
sasa hujamwagilia na kuwekea mbolea litaacha kusinyaa?
mwenzie houseboy anamwagilizia la kwake na mshahara wake wa 50 tau afu ww unateremshia udenda! toeni bhange zenu hapa!
Hahahaha! Mke mwenza nakuaminia.... Umekuwa mkali mpaka raha.
 
nyie wanaume banaa, mna akili kuliko sie lakini hamuwezi kuzitumia. mwanamke ukimjulia atakuhudumia kama punda na hachoki! kama na ww uko kwa pc na jf afu unasema 'naomba chai', hata humuangalii usoni mkeo unadhani atafanyaje zaidi ya ku-shout 'dadaaaa, chaiiiii'! badala ya kumvuta mkeo, umnyang'anye remote na kumbusu kidogo umuambie mke wangu,nna hamu na chai yako manake dada hajui kutengeneza chai kama ww. undahani atakataa? umetamani harufu naturale ya mkeo, ushamuambia 'mpenzi, usipulizie perfume leo,nna hamu na harufu yako mwenyewe..' halafu akakujibu kwa ujeuri?
unakaribisha shida baba. utatembea na huyo dada na watoto wako watakiona cha moto! kuna moto wa mama yao, na wa dada anayejitahidi awe mama yao. urudi hapa professor tutakushauri tena ukishavaa balaa
Santeeee! Nimeamini ile kitchen party alokufanyia wifi AshaDii haijapotea bure!...lol. Walah hapa profesa harudi tena!
 
mke mwenza,hata sijakua mkali. mie nimkute kakae ashadii eti anatoka na hgeli, nitahakikisha anamuoa tena kwa harusi afu namuachia huo mziki! bible inasema mwanamke ni chombo dhaifu,mwanaume sijui ni kichwa na kufanyaje kufanyaje! unapata ajali unalaumu gari? mie sifanyi discussion ya hgeli hata siku moja coz she is my staff na namlipa mshahara mwenyewe!
hehehe, nimekumisi unajua!mbona ukala eid mwenyewe,lol
Hahahaha! Mke mwenza nakuaminia.... Umekuwa mkali mpaka raha.
 
mke mwenza,hata sijakua mkali. mie nimkute kakae ashadii eti anatoka na hgeli, nitahakikisha anamuoa tena kwa harusi afu namuachia huo mziki! bible inasema mwanamke ni chombo dhaifu,mwanaume sijui ni kichwa na kufanyaje kufanyaje! unapata ajali unalaumu gari? mie sifanyi discussion ya hgeli hata siku moja coz she is my staff na namlipa mshahara mwenyewe!
hehehe, nimekumisi unajua!mbona ukala eid mwenyewe,lol
Hahaha! Taratibu basi ushanitengua mbavu zangu mbili, sina serikali ya kunipeleka India mwenzio, khaaa. 'I love you' ghafla kwa hayo mabandiko yako ya ukweli na uwazi!

Nimekumiss pia mke mwenzangu, eid nilikula kwa mwanao uporoto na mkewe husninyo, walinipa mualiko spesho nikaona nisiwaangushe!
 
Ah Jamani kwakweli halikuwepo wazo kabisa, ila jinsi mama anavyoniharibia mood hapa hata papper hazisomeki tena nina kazi ya kuandika kitabu hapa kimesimama na anajua ila basi yeye sijui anataka nini, leo kalala mapemaaaa, cha ajabu HG niko nae hapa kakaaa anaangalia Movie MGM, si unajua mavumbi ya MGM, haafu sasa katoka kuoga na amevaa kanga moja tu ana kama miaka 22 hivi! Mweupe mwenye aibu na heshima za ukweli.... sijamtamani ila sifa hizo anazo... ila huku ninakoelekea mama akizidi kuniudhi na dalili ninazoziona nahisi kutaka kufarijiwa... au nitajikuta nimepata faraja bila kuiomba... nahisi vibaya sana maana ni kama binti yangu tu huyu ninayemuona pamoja na mvuto wote huo... Wadau Graph ya Mapenzi kweli haiko constant inapanda na kushuka inapanda inashuka sasa sijui ni chore mistari ya rangi gani blue, njano na mwekundu?
 
he he he tuliza boli kamanda,ukimla tu na atabadili tabia na kuwa na kiburi.mpandishie mshahara ikiwezekana,elfu ishirini ndogo sana ndo maana ananukia natural
 
Usimfikirie sana mke kwa mida hii. Mwanao atakuheshimu sana ukivumilia na kumkuza na mamaye pamoja. Try to do your own chores..... press your own clothes (and hers too),. Ungekuwa huna mtoto ningekwambia uachane nae tu huyo mkeo, kwani hana heshima na inaoneka humfeel, so why waste time?
 
Ah Jamani kwakweli halikuwepo wazo kabisa, ila jinsi mama anavyoniharibia mood hapa hata papper hazisomeki tena nina kazi ya kuandika kitabu hapa kimesimama na anajua ila basi yeye sijui anataka nini, leo kalala mapemaaaa, cha ajabu HG niko nae hapa kakaaa anaangalia Movie MGM, si unajua mavumbi ya MGM, haafu sasa katoka kuoga na amevaa kanga moja tu ana kama miaka 22 hivi! Mweupe mwenye aibu na heshima za ukweli.... sijamtamani ila sifa hizo anazo... ila huku ninakoelekea mama akizidi kuniudhi na dalili ninazoziona nahisi kutaka kufarijiwa... au nitajikuta nimepata faraja bila kuiomba... nahisi vibaya sana maana ni kama binti yangu tu huyu ninayemuona pamoja na mvuto wote huo... Wadau Graph ya Mapenzi kweli haiko constant inapanda na kushuka inapanda inashuka sasa sijui ni chore mistari ya rangi gani blue, njano na mwekundu?
Khaaa! Sasa kumbe wife asilale mpaka sahizi(saba usiku) nayeye anaandika kitabu?

Nilichogundua ni kwamba wewe ushaanza kumtamani h'gal wako na hapa unatafuta huruma ya wananchi, umepost sa 7 usiku huyo h'gal analala mda gani? Hata yeye kagundua unamtamani hivyo ameamua kukutega kwa makusudi, jaribu kutembea nae afu uone kama ataendelea kukuheshimu!
 
Kwanza hebu badili I'd,ww sio prof banaa! Na usome uzi wa the boss kuhusu kukua! Unashindwa nyumba baba,mkeo alikua chumbani anachat kama sio kuongea au la kunanilii kwa simu na mtu! Saa saba usiku badala ya kumpa mkeo soul food unaandika makaratasi!Unaishi kwenye nyumba haina nidhamu na unalalamika kama mh pinda,lol! Hgel amevaa khanga moko anaangalia movie na ww unamlia chabo unadhani unamuweza mkeo! Hivi leo ukitoka job pita mahali nunulia mkeo perfume light na khanga ulifika umpe umuambie amri ni moja. Aibu inakunyemelea aisee,wanao wakifika 20 yrs watakudharau for the rest of ur life! Kama u can bear that,hamisha huyo hgeli fanya small house kabisa!

Back
Top Bottom