Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,315
- 24,178
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa anatakiwa kuwa balozi ambaye pamoja na kufikiria jibu sahihi katika masuala yote yanayohusu nchi, majibu yanatakiwa kulinda heshima ya nchi yetu.
A Diplomat, waswahili wa kule UK, wanasema "It's a person sent to lie with grace, for his country".
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje si waziri wa Ulinzi. Kwahiyo, choice of words is very important.
Kwa mfano, muwakilishi wa nchi fulani akiongea uongo wa dhahiri, huwezi kusema muwakilishi wa nchi hiyo nyingine ni muongo, ila utasema "he is being economical with the truth".
Ujumbe unakuwa umefika, and with a light touch!
Career Diplomats tunao wengi, naomba mumpe somo ndugu yetu Palamagamba!