Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...
Kacheze nayo ndio utaijua...power amp imeanza kutamba tangu enz za symbian,,sasa sjui utasema nini
Naikubali jetaudio zaidi sijaona kipi poweramp inafanya jetaudio haifany zaidi!! Hadii nimeamua kui systemize kwa kutumia magisk systemizer.
Niaje kiongozi.
Hope uko okay kabisa. Well, hapa nna Truecaller ya kulipia ila nafkiri bado kama wiki 3 hivi iishe muda wake.
Sasa nimepakua hii natakiwa ku-uninstall kwanza hii niliyonayo au naweza ku-install tu juu kwa juu...?
Thanks In Advance bro.
Hii ya zaman sana mkuu
Kuliko poweramp?James dsp hatari hiiView attachment 1098358
Mkuu...unainstall vp hii maana nmejarb imegomaJames dsp hatari hiiView attachment 1098358