Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Mkuu big up Sana, Hii apk uloiweka imekubali na inafanya vizuri kabisa. Zile za mwanzo kila niki-install inagoma kufungua inasema error na blah blah nyingine.

Hii ya sasa inasema full version, ishu nataka kukuuliza hivi ile theme black ya trial poweramp kwenye Hii full version haipo maana naona Hii uloiweka theme yake ni nyeupe, na Mimi nahitaji ile theme black.

Natanguliza shukrani chief
 
Nimeipenda ila Naona inauzwa hii ya trail imeisha mda wake mwenye crack Naomba anitumie is wasap au tereglam kwa 0756695846 nitashukuru
Mkuu nunua online haifiki hata elfu 3 .
Screenshot_2018-12-12-14-57-51-61.jpeg
Screenshot_2018-12-12-14-57-59-98.jpeg
 
ndiyo inacheza lakini kwa njia ya audio .
Nilivyo ona hiyo screen shot ya ambassadors nikadhan ina play hadi videos. Basi hata Hii iliyowekwa na mleta mada ambayo nimedownload iko na features kama hiyo yako uliyonunua.
 
Mkuu kama unataka black theme,nenda playstore kadownload black theme kisha uta apply mweny poweramp
Mkuu big up Sana, Hii apk uloiweka imekubali na inafanya vizuri kabisa. Zile za mwanzo kila niki-install inagoma kufungua inasema error na blah blah nyingine.

Hii ya sasa inasema full version, ishu nataka kukuuliza hivi ile theme black ya trial poweramp kwenye Hii full version haipo maana naona Hii uloiweka theme yake ni nyeupe, na Mimi nahitaji ile theme black.

Natanguliza shukrani chief
 
Mkuu kama unataka black theme,nenda playstore kadownload black theme kisha uta apply mweny poweramp
Unamaanisha nadownload black theme specifically kwa poweramp au black theme yeyote halafu niweke kwenye poweramp?

Kama jibu ni ndio inawezekanaje chief.
 
Unamaanisha nadownload black theme specifically kwa poweramp au black theme yeyote halafu niweke kwenye poweramp?

Kama jibu ni ndio inawezekanaje chief.
Playstore kuna themes za poweramp,sasa wewe download black theme ya poweramp kisha apply theme kweny setting ya poweramp .
Hizo theme zipo special for poweramp
 
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..

View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu inaweza ku play music wa online? Au ni app gani inaweza ku play online music kama Dizer!
 
Mkuu pakua latest apk iko na black theme fresh..naiweka juu apo
Playstore kuna themes za poweramp,sasa wewe download black theme ya poweramp kisha apply theme kweny setting ya poweramp .
Hizo theme zipo special for poweramp
 
Hio DSP ni kifupi cha digital signal processing. Infact ni sound enhancer so inaweza fanya kazi ndani ya player au nje kama separate app. Kuna baadhi ya player zinayo kama hio poweramp.
Bwana leo nmepata dsp moja inaitwa james dsp ,aisee hiyo sound inayotoka humo sjaona mkuu...
 
Back
Top Bottom