Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Nilishatumia za kucrack sanaa....hawa jamaa huwa wanacheki licence verification kila baada ya 24 hrs...iko siku tu watakushika....nikaona isiwe inshu...nikaingia playstore nikainunua kwa 2700tsh...ili nifaidi vema

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Ni kwel mkuu jamaa wako strict sana..nimetumia pia crack nyingi walkua wanashtuka...ila tangu niipate hii..huu ni mwez kama wa 3 kimya..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hii mkuu kushikwa sio leo..trust me,

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ahsante, Mkuu maana ilikua iki expire nakaa siku moja na install upya ndo wananipa trial version wiki 2, i was very bored.



God's Plan.
 
Ahsante, Mkuu maana ilikua iki expire nakaa siku moja na install upya ndo wananipa trial version wiki 2, i was very bored.



God's Plan.
Pamoja mkuu...

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Sasa mzee si tutakamatwa wafunge kama anavosema hapo juu wanakagua..



God's Plan.
Na wakikushtukia hata upate crack nyingine haikubali...mpaka ufanye factory reset ya simu ndio unawez kutumia trial again...au hizo crack

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Nilishatumia za kucrack sanaa....hawa jamaa huwa wanacheki licence verification kila baada ya 24 hrs...iko siku tu watakushika....nikaona isiwe inshu...nikaingia playstore nikainunua kwa 2700tsh...ili nifaidi vema

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Tuombe mungu
 
Nunua tu mkuu sio ghali...inauzwa tsh 2400 hivi

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Nilikua najaribu kununua mkuu, kumbe kadi yangu ya Master haiko secured. Wakameza kadi nikafuatilia upya.



God's Plan.
 
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..


View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Baada ya kuinstall unlocker na yenyewe kuna process nyingine au nikusikiliza tu ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ki load ngoma zako tu mkuu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Tuko p1 mkuu now nakula ngoma moja ya werrason
Screenshot_20180828-002051.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom