Pakua App nzur kwa kuchart

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
128
Wakuu hv ni app ip nzur unayoifrahia kwa kuchart pekee tujuzane nasi tuipakue wengi hatuzijui tunajua whats app tu na badoo kwa mbali
 
Huyu tumsaidie maana inaonekana ndo kapata simu ya kisasa. Sasa sasa ana mzuka wa kuchati tiuuuuu. Mimi binafsi nilikuwa hivyo mara tango viber badoo bbm fb makundi kibao wasp ndo usiseme. Lkn cha ajabu watu ni wale wale. Unamkuta mtu wasp unaenda nbbm unamkuta mnaanza upya story yaan ni fujo tuu
 
Anataka apite ulipopitia mkuu
 
Back
Top Bottom