Pakiti ya tambi yapanda maradufu kutoka 1000 mpaka 2000

Jumuiya za kimataifa zisaidie tupate tume huru ya uchaguzi Tanzania.
2020 kataa ccm kabisa
Vijana wa mzee Vladimir Putin wa Russia wanatosha! Obama hana hamu nao kabisa, ngoja nimtumie Lowassa email zao aachane kabisa na wale Wabrushi maana wanaliniahaibisha sana, yaani wanaweka mayai yote kwenye kikapu kimoja, yaani wanajikusanya na PC zao za udukuzi ndani ya chumba kimoja, hadi wanadakwa wote kwa mkupuo.
 
*Ile movie yetu ya kuisoma namba kesho ndo party 2 inaanza*

*hii muv ni ya kihindi star ni MAGU KHAN*
 
Back
Top Bottom