Pakistani yasimamishwa commonwealth

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Hours after Pakistani President Gen. Pervez Musharraf cleared the final legal hurdle to being re-elected to a third five-year term, the 53-nation Commonwealth on Thursday suspended Pakistan from its group.


Pakistan President Gen. Pervez Musharraf has been under pressure to lift a state of emergency.

The Ministerial Action Group cited Musharraf's failure to lift the state of emergency he imposed earlier this month, step down as army chief and reinstate the country's constitution and its independent judiciary.

The suspension is "pending the restoration of democracy and the rule of law in that country," said the group, meeting in Kampala, Uganda.

The group noted that it had urged Pakistan 10 days ago to lift the state of emergency and take further steps, including the "full restoration of fundamental rights and the rule of law that have been curbed."

Calling the situation in Pakistan "a serious violation of the Commonwealth's fundamental political values," the group reiterated its call for Pakistan "to implement the necessary measures ... as soon as possible."

The suspension means Pakistan cannot participate in any of the councils or meetings of the Commonwealth, which comprises Britain and its former colonies, said Malta's foreign minister Michael Frendo, who chaired Thursday's meeting. In addition, no further Commonwealth programs will be carried out in Pakistan, although the group remains engaged with the nation

source CNN
 
If this will severe unilateral relations of the member countries of the Commonwealth(whose wealth anyway!)it is yet to be seen!

Hypocracy and Interests has overshadowed the real democarcy and the rule of law in the Commonwealth countries[sic]

How does this measure affect the current International concern? vis-a-vis the African member states of the Commonwealth?
or is this just a statement!
 
yet wenyewe wanadiriki kusimama on press na kusema eti step waliyochukuliwa ni kitendo kisicho cha haki na kiungwana....
 
Kichekesho ni kwamba kikao cha kumsimamisha Musharraf kimefanyika Uganda kwa Museveni. Kisa ni Bi Benazir Bhutto, yale ya Dr Kiiza Besigye yashasahaulika tayari. Na ni miaka michache tu iliyopita walikuwa wakimsifu huyohuyo Musharraf kwa ajili ya kupata sapoti ya kumtwanga Mullah na Osama. Ama kweli hakuna ajuaye rangi ya kinyonga!
 
Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Nchi wa Commonwealth unaanza rasmi Kampala asubuhi ya Jumamosi.Mkuu wa Commonwealth Queen Elizabeth aliwaandalia Chakula cha Mchana (Ijumaa) Viongozi wapya kwenye Jumuiya hiyo,Miongoni mwa Marais hao ni Rais wa Tanzania,Jakaya Kikwete.
Wakati huo huo Kikao cha Utendaji cha Commonwealth kimeisimamisha uanachama Nchi ya Pakistan kwa kukiuka Utawala wa Kidemokrasia,Nchi zote 53 Wanachama wa Jumuiya hiyo umelikubali Azimio hilo.Pakistani ilipewa siku 10 kuondoa hali ya Hatari,lakini walishindwa kufanya hivyo,hata hivyo waliwaachia watu 3400 waliowekwa ndani kutokana na maandamano, akiwepo Mwanasiasa Imran Khan.

Pakistan itakuwa mara yake ya pili kufungiwa Uanachama kwenye Jumuiya hiyo,mara ya kwanza ilisimamishwa uanachama mwaka 1999,wakati Musharaff alipopindua Nchi,Uanachama wake huo ulirudishwa mwaka 2004.Mkutano Mkuu uanzao kesho pamoja na mambo mengine utaijadili zaidi Zimbabwe na Pakistan.
 
Back
Top Bottom