Pakistani yaiwekea Urusi vikwazo vya kiuchumi kwa kukataa Kulipa Mikopo

Kuna watu wanawachukulia poa au hawawajui Pakistan ana jeshi imara Sana pia ana nuclear weapons India anaufahamu moto wake ata hivo yuko sawa atalipate ela ataweka Bank gan sasa
Asante sana Mkuu,
Comment yako ndio funga kazi ya uzi.
Bank hazifanyi kazi so biashara haziwezekaniki.
Russia wana makombora ila West ndio wanamiliki uchumi wa Dunia.
 
Kikwazo kama hiki ni reliable kweli au ni loophole ya kujiongeza?
 
Kupitia waziri mkuu wake, Pakistan ambayo ni mdaiwa imetangaza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi kwa kutolipa madeni wanayodaiwa ambayo ni zaidi ya dola za kimarekani bilioni moja. Hiki kikwazo kwangu mimi kimenishangaza na nimeishia kucheka 😄. Kwa watasha mnaweza fungua link mkajisomea zaidi.

Fursa hiyo, namimi mdeni simlipi nimemwekea vikwazo kwa kumuunga mkono putin 🤣🤣
 
Kupitia waziri mkuu wake, Pakistan ambayo ni mdaiwa imetangaza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi kwa kutolipa madeni wanayodaiwa ambayo ni zaidi ya dola za kimarekani bilioni moja. Hiki kikwazo kwangu mimi kimenishangaza na nimeishia kucheka 😄. Kwa watasha mnaweza fungua link mkajisomea zaidi.

Ajiandae naye kwa kichapo kwani hayuko mbali sana na Urusi...
 
Dawa yao hilo deni la Pakistani kwa urusi wapewe India.
Urusi itangaze deni wanalodai Pakistan awalipe India..
.

Vita bado mbichi.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom