Pakistani yafukuza wabunge vihiyo, ni nini kinashindikana Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pakistani yafukuza wabunge vihiyo, ni nini kinashindikana Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magezi, Jun 25, 2010.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Pakistan to fire MPs with fake degrees


  Pakistan's top court has given a landmark ruling, ordering authorities to fire those MPs who have qualified their election victory by holding fake educational degrees.

  While making the judgment on Thursday, the Pakistani Supreme Court has asked the country's election commission to initiate action against those who used forged documents and ordered judges to try and decide these cases within three months, a Press TV correspondent reported.

  Chief Justice Iftikhar Chaudhry, writing a detailed judgment, directed the commission to ensure honest, efficient and expeditious investigations in these matters.

  The decision came days after many lawmakers belonging to Pakistan's second largest political party PML-N tendered their resignations from the parliament as they were found guilty for holding fake educational degrees.

  PML-N head Nawaz Sharif said Wednesday that his party would not award a ticket to any candidate holding fake degree. He asked elected representatives, holding fake degrees, to resign to avoid embarrassment.

  In a statement on Wednesday, he said that the candidates, who won election through cheating voters, had no right to represent the masses.


  Source: http://www.presstv.ir/detail.aspx?id=131917&sectionid=351020401
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka Ndugu Msema kweli alijaribu kupambana na hawa wabunge na mawaziri vihiyo sijui ameishia wapi. Lakini kinacho nishangaza ni kwa nini nchi zingine wanaweza kupambana na wahalifu ili hali sisi tunashindwa?
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kwetu bongo labda mtimue bunge lote!
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Tutaweza vipi mkuu, wakati wenye fake degrees wote ni "wenzetu" katika chama!!!

  CCM has infected the whole system, infected too. I wonder who shall one day create an ant-virus in this rotten system as strong as kaspersky !!!
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Lakini je ni nini wananchi waweza kufanya? Hivi hata kuiondoa CCM kama imeoza haiwezekani?
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Magezi CCM inajua fika wapiga kura wake walipo....
  Vijijini, kwenye ujinga na umasikini wa kutupa. Mahala popote kwenye ujinga na umasikini watu wanaishi kwa kufanikisha ulaji wa siku hiyo tu!!! Sasa CCM inajua wapi pa kutokea... si unawasikia 70% yetu ni bendera (kufuata upepo tu).

  Kazi kubwa tuliyo nayo ni kuahakikisha majority voters kwanza waelewe haki yao, I mean kama kuna siku itafika mijadala ya hapa jamvini ikiweza kuwafikiwa wale majority, tutatoka. CCM imekuwa kwenye ulingo kwa siku nyingi, wana njama zao, strategy zao, the only short cut ni anguko la chama. MGAWANYIKO ndani ya CCM; ndo utakao toa nafasi kwa wengine, at the same time we should have someone ready to take over. I dont see this happening soon....

  Ila tukaze mwendo ndo tutafika... i have hope.
   
Loading...