Pakistani yafanya jaribio la kombora la nyuklia (Nuclear-Capable Ballistic Missile) siku chache baada ya India nayo kufanya jaribio kama hilo

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia

Pakistani
imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya India katika shabaha yake.

Jaribio la kombora la Shaheen-I limetajwa kama mazoezi ya utayari wa kijeshi kuweza kukabiliana na hatari za mashambulizi ya kijeshi linalolipa jeshi la Pakistani uwezo zaidi wa kujilinda dhidi ya maadui zake.

Jaribio hili linakuja siku chache baada ya India nayo kufanya jaribio la kombora la masafa ya kati lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia lijulikanalo kama Agni II. Kwa undani wa taarifa kuhusu jaribio la India pitia uzi hapo chini;

The Economic Times
Pakistan successfully conducts test launch of surface-to-surface ballistic missile


ISLAMABAD: Pakistan on Monday conducted a successful test-fired a nuclear-capable surface-to-surface ballistic missile which can strike targets up to 650 kilometres, bringing many Indian cities under its range.

The test-firing of the Shaheen-I missile by the Pakistani military took place amidst Indo-Pak tensions over New Delhi revoking Jammu and Kashmir's special status.

According to a press release issued by the media wing of the Pakistani military, the launch of Shaheen-I missile was held as part of a training exercise "aimed at testing the operational readiness of Army Strategic Forces Command".

The Shaheen-1 missile is capable of delivering all types of warheads up to range of 650 KMs, the Inter-Services Public Relations (ISPR) tweeted.

"The launch was aimed at testing operational readiness of Army Strategic Forces Command (ASFC) ensuring Pakistan's credible minimum deterrence," it said.

The Director General Strategic Plans Division, Commander Army Strategic Forces Command, senior officers from Strategic Plans Division, Army Strategic Forces Command, scientists and engineers witnessed the training launch, according to Pakistani media reports.

"Troops displayed a high standard of proficiency in handling and operating the potent weapon system, ensuring Pakistan's credible minimum deterrence," the ISPR said.

Pakistan successfully test-fired nuclear-capable surface-to-surface ballistic missile 'Ghaznavi' with a range of up to 290 kms on August 29, days after India revoked Jammu and Kashmir's special status on August 5.

The Indian Air Force carried out the successful firing of BrahMos surface-to-surface missiles from a mobile platform in October to check the IAF's capability to hit targets with "pin-point" accuracy at targets close to 300 KM.

The Pakistani missile test also came days after India conducted the first night trial of 'Agni-II', its versatile surface-to-surface medium range nuclear-capable missile.

The 'Agni-II' missile has a strike range of 2,000 km and is an intermediate range ballistic missile. It has already been inducted into the armed forces.

India and Pakistan have been at odds after New Delhi abrogated the provisions of Article 370 of the Constitution to revoke Jammu and Kashmir's special status and bifurcated it into two union territories.

Pakistan reacted strongly to India's decision and downgraded bilateral ties and expelled the Indian envoy.

India has categorically told the international community that the scrapping of Article 370 was an internal matter. It has also advised Pakistan to accept the reality and stop all anti-India propaganda.


1574101548584.png

Shaheen-I missile.

The Economic Times
 
Yaani eti wa 650km analenga miji mingi ya wa 2000km,sijui imekaaje hii
 
Yaani eti wa 650km analenga miji mingi ya wa 2000km,sijui imekaaje hii
Geographically, ukaribu wa nchi hizi mbili unafanya hata makombora ya masafa mafupi kuvuka 'boda' na kuelekea upande wa pili.

Kwahiyo, kombora la umbali wa km 650 linaweza kabisa kuleta madhara kwa miji hiyo kutokana na ukaribu wa nchi hizi
 
Kombora km hilo km 650 likipigwa mashariki ya Rwanda linapitiliza hadi magharibi linavuka border nchi ilivyokuwa ndogo
 
Back
Top Bottom