Pakistani schoolgirl shot by Taliban sent to UK for treatment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pakistani schoolgirl shot by Taliban sent to UK for treatment

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Oct 15, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  ISLAMABAD (Reuters) - The Pakistani schoolgirl shot by Taliban gunmen for pushing for girls to be educated has been sent to the United Kingdom for medical treatment, a military spokesman said on Monday.


  The spokesman said in a statement that 14-year-old Malala Yousufzai, whose shooting has drawn widespread condemnation, will require prolonged care to fully recover physically and psychologically.


  An air ambulance transporting Yousufzai, provided by the United Arab Emirates, had departed from Islamabad and was heading for the United Kingdom, said the spokesman.

  Pakistani schoolgirl shot by Taliban sent to UK for treatment - Yahoo! News
   
 2. D

  Dr.Who Senior Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa Wazungu inabidi wapelekwa The Hug, sisawa kuwatumia watoto wadogo katika siasa na hasa siasa ktk nchi ambayo inavita.

  Kitendo cha westerners kumfungulia Blog na kumtegenezea speech huyu binti, speech ambazo ni dhidi ya Talibani, nikumtoa kafara. Binti huyu aliingizwa kwenye political activities kabla hajaanza kuweza kuandika wala kusoma, kwa kweli walimuweka front line. nilazima wamtibu mpaka apona wanyama haya weupe
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Hapana, Dada Malala ana haki ya kusema na kuwa huru. Kitendo cha hayo Matalibani kutoa roho watu ni unyama na hauto vumiliwa kamwe. Ipo siku, ndugu zetu watapata uhuru kamili na kumaliza chuki ya matalabani kwa Wanawake na Watoto wenye akili kuli hayo Matalabani yenye madevu. Kumbe akili si ndevu bali ni nywele.
   
Loading...