Paka akifanya mchezo anabanwa

Ananikera ule muungurumo wake tu,utadikia kruuu!kruuu!kruu!!.
Hahahah kuna kimoja kilikuwa kinapanda kitandani na kulala kichwani kwa juu ya neti, nasikia kruuuu! Kruuu! Ukimpiga anaondoka ila ukilala kinakuja tena, tunakifungia milango sasa hivi.
 
Back
Top Bottom