Paji la uso na siri ya jicho la tatu

mshana jr hiyo namba saba

Naomba uielezee kiundani zaidi hat kidogo.. inakuwaje hivyo mtu kuumia?

Hili jicho la tatu ndio yale Dr. Shika aliongelea ukimwangalia mtu aliyelala...?
 
mshana jr hiyo namba saba

Naomba uielezee kiundani zaidi hat kidogo.. inakuwaje hivyo mtu kuumia?

Hili jicho la tatu ndio yale Dr. Shika aliongelea ukimwangalia mtu aliyelala...?
Namba saba kuna mada yake nitakutag, na hiyo ya Dr Shika ipo pia mada yake na kama nilikuona ukishiriki... Anyway takutag zote
 
Naamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.

dc556203657c470dbe63ccbc7d5602a4.jpg


Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.

c19a91f68d318dd66366655ef11060a7.jpg


Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.

f0ae1602a46f2fb9ece65cbd9be7812f.jpg


Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.

Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...

Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.


Nikisoma thread zako huwa nnajifunza vitu vipya sana
 
Back
Top Bottom