Paja ale nani??

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Nipo kwenye daladala narudi nyumbani, ila yamezuka mabishano hapa kati ya akina dada(wanawake) na akina kaka(wanaume), kuwa ni nani apaswae kula paja la kuku iwapo kitoweo hicho kitapatikana nyumbani, wanaume walio wengi wanadai ni baba akati wanawake wanadai hiyo ilikuwa zamani,
naomba nililete na kwenu wakuu hii inakuwaje??

Duh nimepumua kwa nguvu hapa
Nilijua ni paja la ukweli kumbe la kuku
In our life no just yeyote ndani ya nyumba bana anaweza kula maana kila sehem ya kuku ni just a nyama kama nyama
So haya mambo ya sijui paja ale baba au mama ni mambo ya kizamani hayo

Paja la mtoto si Baba wala Mama halafu kwani kuku ana Paja moja yapo mawili wagawane

Kweli kabisa. Watu wanabishana paja ale nani
Kwani kuku si kama nyama tuu na ahhh nashindwa hata kuendelea

Viashiria vya umaskini ni vingi sana.

Teteteteteteteteeeeeeeeeeeeeee! Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Interesting observation Sangara. Lakini usisahau na mambo ya mila na utamaduni wa kiafrika. Napitapita tu jamani!

Nipo kwenye daladala narudi nyumbani, ila yamezuka mabishano hapa kati ya akina dada(wanawake) na akina kaka(wanaume), kuwa ni nani apaswae kula paja la kuku iwapo kitoweo hicho kitapatikana nyumbani, wanaume walio wengi wanadai ni baba akati wanawake wanadai hiyo ilikuwa zamani,

naomba nililete na kwenu wakuu hii inakuwaje??

ugomvi utatokea ikiwa huyo kuku alikuwa kilema, alikuwa na mguu mmoja tu na upande mwingine hakuwa na paja.
Kama kuku alikuwa mzima, baba atakula paja moja na mama paja moja, housegirl atakula maini na mtoto atakula kinyero a.k.a mkia wa kuku

Teteteteteteteteeeeeeeeeeeeeee! Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Interesting observation Sangara. Lakini usisahau na mambo ya mila na utamaduni wa kiafrika. Napitapita tu jamani!

Hakuna cha mila wala nini mkuu...nenda kwa wenzetu uone kama watu wana muda wa kujadili eti paja ale nani.
Wasalimie sana huko uendako waambie sie ni wazima.

Kweli kabisa. Watu wanabishana paja ale nani

Kwani kuku si kama nyama tuu na ahhh nashindwa hata kuendelea

Yapo hayo mkuu, ukienda baadhi ya maeneo kuna mpaka kiti au kochi la baba hilo haruhusiwi mtu mwingine kukaa.

Baba.BABA NDO KICHWA CHA FAMILIA.Hakuna cha zamani wala ss.

Kama baba ni kichwa cha familia ale kichwa na shingo. This is ridiculous,kula paja ama wings sioni tatizo,mila na desturi nyingi zilikuwa niza kichoyo mno,kwa dunia ya sasa yeyote aweza kula.

Binadamu by nature ni selfish,....
Kama unaweza au utaweza kuupinga ubinafsi ambao by nature tunao.
Basi wewe utakua unaishi maisha ya "kiutumishi",...a servant life.

Ukimfikiria mwenzako zaidi ya unavo jifikiria mwenyewe ni moja kati ya
mazoezi ya kiroho.

Binafsi,as natambua kwamba life is all about character development,
paja,firigisi atakula yeyote tofauti na mimi.

Na ikitokea nikapewa na mwingine,say mke wangu nitamshukuru maana
kanifikiria mimi zaidi ya alivo jifikiria,...that is love lakini isiwe principle kwamba
ni baba kila siku,au ni mama kila siku.

Life is all about sharing,and self denying brings blessings.
unaweza amua hata kumpa yatima uliya amua kumkaribisha kwa
chakula nyumbani kwako.au say,umeenda kuwatembelea na chakula.

Mimi nikila miguu ndo nitajua nimekula kuku hayo mengine sijui paja, firigisi au vipapatio mimi sielewi, kitu miguu bwana kama huna haraka unaweza kula hata saa nzima.

Kwahyo FL we bado unaukubali huo utaratibu wa paja ale baba na firigisi teh teh teh.?

Mimi wala hainisumbui,Tukichinja kuku baba nikimpakulia namuwekea paja

Miaka 50 ya uhuru wa TZ bado tunagombania 'paja la kuku'
Tuilaumu familia au Magamba?
Ila mi sijui mnisaidie.

kamata paja moja tupa huku, paja lingine tupa kule! wewe kula kati yake.

ugomvi wa kula kuku? u cant be serious.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom