Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

Yaani huyo baba flani amlishe yeye atakate na kung'aa juu alafu awe lainiiiiiii uwaachie wahuni wale agggggggggggggrrr hii haiwezekani lazima baba mwenye nyumba nianze kwanza si bora nakula chakula bora kuliko niende kuokota wa barabarani.

Atembee na wanae basi maana hata hao anawalisha na kuwavisha na kuwapendezesha.
 
Aksante Baba_Enock nisamehe kwa kureact kwa hasira hivi ila mh..... Ni kweli mnashindwa kuwakemea? Akikutumia sms ya ajabu akikukalia vipaja nje yaani unataka kunambia ninyi ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuishinda tamaa yako na vishawishi vyake? Mkemee shemeji yako noi sawa na mdogo wako. Hivi kweli mwanaume anawezafanya mapenzi na mdogo wake? ah (Nadhani nimeathirika kimahusiano kiasi cha kuwa unreasonable but frankly speaking nimechoka.)

MJ1, kipi ni kigumu zaidi, mdogo wake au mtoto wake wa kumzaa au mama yake mzazi?

Bahati nzuri ni kuwa tuko baadhi ya wanaume (tena wengi tu) ambao hatuwezi kufanya uchafu wa namna hiyo.
 
Tuacheni Utani fedel80 huyu mama amechanganyikiwa kiukweli sasa :confused2:
 
MJ1, kipi ni kigumu zaidi, mdogo wake au mtoto wake wa kumzaa au mama yake mzazi?

Bahati nzuri ni kuwa tuko baadhi ya wanaume (tena wengi tu) ambao hatuwezi kufanya uchafu wa namna hiyo.

afadhari wewe umeona huu ni uchafu uliovuka mipaka :ballchain:
 
Atembee na wanae basi maana hata hao anawalisha na kuwavisha na kuwapendezesha.

Ayaaaaa hujaona midingi inayo kula kuku na mayai yake tena mpaka mimba wapo sana.
Ishu kama mtoto ni mdogo atamegaje? Anamega huyo huyo mdogo mtu kwani ni dhambi? Kama ni dhambi wapi wameandika ukimega mdogo wa mdogo mtu ni dhambi?
 
Tuacheni Utani fedel80 huyu mama amechanganyikiwa kiukweli sasa :confused2:

Asubiri mtoto azaliwe then hiyo couple imchukue na kumlea mtoto......na huyo mdogo mtu ahamishiwe mbali iwezekanavyo!
 
Tuacheni Utani fedel80 huyu mama amechanganyikiwa kiukweli sasa :confused2:

Hebu thaminisha uzuri wa huyo mama na huyo mdogo wake.
Nani anakubarika sana yaani yupo juu hata anaweza ingia kwenye umiss bantu.
 
Huyo dada asithubutu kutafuta mwanamume ili kulipiza kisasi. Itakuwa ni sawa na kumwaga petrol kwenye kibatali. Cha msingi atulie awashughulikie. Akitumia jaziba yeye ndiye atakuwa victim kwani anaweza kujikuta anawaachia nyumba. Mdogo wake atatanua na kumtesea watoto. Atulie na kutumia akili ili awashikishe adabu. Any miscalculation ataongeza majuto juu ya majuto aliyonayo sasa.

Au aombe talaka :A S-coffee:
 
Au aombe talaka :A S-coffee:

Wewe sasa unampotosha au unataka kutengenisha ndoa ya watu?
Akisema mwanaume bado anampenda utasema aanze na yeye kumegwa na shemeji mtu?
Dawa akomae huyo jamaa awaoe wote yeye si kidume bana.
 
Asubiri mtoto azaliwe then hiyo couple imchukue na kumlea mtoto......na huyo mdogo mtu ahamishiwe mbali iwezekanavyo!

not sure kama mapenzi yataisha tayari wanategemea ka- photocopy kao ni ngumu katika hali halisi ya kusadikika
 
Wewe sasa unampotosha au unataka kutengenisha ndoa ya watu?
Akisema mwanaume bado anampenda utasema aanze na yeye kumegwa na shemeji mtu?
Dawa akomae huyo jamaa awaoe wote yeye si kidume bana.

ha ha ha ha nilijua utasema ..ila kama ni mie cjui ningefanya nn mwenzenu mpaka sasa cna jibu muafaka
 
Huu msala unahitaji busara, hekima na sala nyingi kwenye kuutatua, huu utahitaji koo mbili husika kutatua, kama inavyokuwa kwenye harusi! Si kitoto babaake!
 
kuna mambo yanaumiza sana maishani jamani, mojawapo ni hili, hapo hakuna undugu hakuna mume...mbona huyo mdogo kawa na jeuri hivyo kweli anadhubutu kumuona dadake anateseka hivyo juu yake? mambo mengine ni laana tupu.

Human nature utaambiwa! Kuna watu wana akili ndogo sana. Huona dada anafaidi sana ngoja tufaudi sote au mwanaume huona kuwa ni halali yake kujifaidisha na kila member wa faimilia ya mke.Huu ni udhalimu!

Nadhani viwango vya maadili siku hizi viko zaidi ya chini! Haya mambo yako sana na kibaya zaidi kuna hata familia zinabariki mtu kutembea na ndugu wa mke maana ati mambo yanabaki baina ya familia na siyo nje. Kinachopaswa kufanywa katika hili ni kwa huyo ndugu yako ama rafiki kujikusanya na kufikiria kwa mapana anataka nini. Step 1. Kama anampenda huyo mume pamoja na kutendwa vibaya vile, basi amuondoshe tu huyo mdogo wake ili waendelee.Lakini je, ataweza kumsamehe mumewe kwa dhati? Kama jibu ni hapana basi achukue step 2 ambayo ni kujikata na kuondoka akaanze maisha upya. Mara nyingi usaliti mkubwa kama huu huzaa balaa kubwa zaidi.Ama mwanaume atachukulia kuwa mke hana hiana wala kinyongo na ikampelekea kurudia tena na tena. Mke kutokusamehe kabisa na kusahau ( na mara nyingi msamaha wa kusamehe na kusahau ni vigumu) hujenga chuki na roho ya kisasi ambayo mwisho wake ni mbaya kwa wote wawili.
Mwisho wa yote, uchaguzi anao yeye.
 
Back
Top Bottom