Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Huu uzi kama umepoa siku hizi...

Anyway mwenye review ya haya manukato...
Naona yanasifika sana huko instagram...
Naamin sehemu yenye kupata review za hukika ni hapa tu.Uko kwingine wanaandaga watu wao....
Screenshot_20200114-155700.jpeg
Screenshot_20200114-155640.jpeg
Screenshot_20200114-151556.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki @perfumehouse_tz page instagram au fika Sinza Madukani opposite na Jonijo Hair upate perfume unayotaka.
 
Huu uzi kama umepoa siku hizi...

Anyway mwenye review ya haya manukato...
Naona yanasifika sana huko instagram...
Naamin sehemu yenye kupata review za hukika ni hapa tu.Uko kwingine wanaandaga watu wao....View attachment 1323108View attachment 1323109View attachment 1323110

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soma post namba 465 kuna mwamba kaelezea vizuri sana kuhusu hiyo creed aventus na clone yake. Soma kwanza hiyo post maana kaweka mpaka picha ya kitu original.
 
Mkuu nadhani ujanielewa wacha nikufafanulie...
Club nuit intense by armaf ndio clone bora inayokimbizana na creed aventus..Nimewahi kuitumia lakini katika pita pita zangu mliman city nikabahatika kujaribu clone nyingine zinazotengenezwa hapa bongo...

Hazifanani sana na club nuit intense(sizungumzi aventus original sabab sijawai tumia).Hio clone ina harufu yake ya kitofauti kipekee.Nikaipenda nuit ilipoisha nikaachana nayo...

Sasa mantiki yangu ndugu ni kujaribu hizi clone zetu za wabongo.Mana unaweza ukawa unaagiza manukato ya bei kubwa toka nje.Wakati wenzio for 30k wanapata bidhaa bora zaid hio uliyoagiza.

Club nuit bei yake ipoje

Sent using iPhone
 
Mkuu ni kweli nilikuwa sijakuelewa,hapa nimekupata vizuri. Shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom