Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Siku hizi Kuna watu wananunua chupa tupu ukimaliza kutumia pafyume
Halafu wanaenda jaza na sindano maji na harufu inakuwa pafyume
Mnaopenda kununua vya rahisi na barabarani Ndio mnapigwa feki bila kujijua
Mimi colognes zangu huwa nanunua Macy's department store. Jina linaloeleweka.

Ukifika mlangoni tu unajua hapa si sehemu ya kitoto.

Sitaki ujinga.

www.macys.com
 
P1030233.JPG
P1030233.JPG

Wakuu za leo? Naona kuna maswali mengi sana kuhusu ufanano wa haya manukato mawili. Sikuwa na hiyo Club de nuit intense ikabidi niagize ili nizilinganishe.
Kwanza nilijaribu kwenda department stores,kama Sephora,Dillard's na Macys hawana club de nuit,kwa hiyo option pekee ilikuwa ni kuagiza Amazon.Ikanifikia wiki mbili zilizopita.
Kwa jinsi nilvyoijaribu,kwa kweli jamaa wamejitahidi sana kutoa copy ya Creed Aventus.Kiasi kwamba kwa mtu ambaye hana addiction na hivi vitu hawezi kujua.Najua kuna watu wana collection kubwa kama Kiranga Nyani Ngabu RRONDO na wengine wanaweza kujua tofauti zao.
Tatizo nililoona kwa hiyo clud de nuit ni sillage and longevity. Yaani ukipulizia tu insambaa vibaya mno kulinganisha na Aventus.Cha pili ni longevity,ukipulizia Aventus unajua kabisa inakupatia masaa hata 16 kwenye ngozi,kama ukipulizia kwa nguo ni mpaka ufue ndo itatoka..
Bei sasa Creed Aventus 100ml ni $435 plus tax Vs club de nuit 100ml $ 30 plus tax. Kwa mahesabu ya haraka haraka,bei Creed Aventus ni mara 14 ya club de nuit. Swali hapo ni je,Creed Aventus ni nzuri mara 14 ya club de nuit ? Naomba nisijibu hilo swali.
 
P1030238.JPG
P1030241.JPG

Ni vigumu sana kuchagua Cologne nzuri kwa ujumla kwa kuwa unapulizia kulingana na mazingira au hali ya hewa.Ndo maana watu kama Kiranga Nyani Ngabu wana collection kubwa sana ya hivyo vitu. Kwa mlio nyumbani suala la hali ya hewa huwa haliwaathiri sana.
Kama ningeambiwa nichague let's say tatu tu za kiume,ningechukua 1.Aqua Di Gio Profumo 2.Blue De Chanel 3.Dior Sauvage.
Najua watu watajiuliza kwa nini sijachagua Creed au Tom ford. Sababu kubwa thamani ya fedha kwa manukato unayonunua. Nilizochagua bei yake ni around $120 each plus tax Vs creed upwards of $400 plus tax.Najua ambazo Kiduku Lilo angechagua.
 
View attachment 1239699View attachment 1239701

Hata body chemistry pia huathiri jinsi ambavyo marashi hunukia kwa mtu.

Watu wawili mnaweza kujinyunyizia marashi yaliyo sawa lakini mkanukia tofauti.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom