Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Wakuu leo nataka nikanunue unyunyu wa bei chee elfu5 tu inatosha naomba msaada wenu unyunyu gani wa bei hiyo mkali.. afu kunawatu humu ukiomba msaada wao wanatoka nje ya mada inatakiwa kabla ujacomment ujue sio kila mtu anauwezo wa kununua unyunyu wa milioni mi uwezo wangu umeishia hapo.!
 
Kama uwezo wako umeishia hapo mkuu fanya kama mimi. Situmii unyunyu na maisha yanaendelea poa tu. hiyo elfu tano nunua sabuni uvae nguo safi, pia nunua sabuni ya 2000 ya kuogea uache kuogea sabuni xa kufulia kanzu.
 
Kama uwezo wako umeishia hapo mkuu fanya kama mimi. Situmii unyunyu na maisha yanaendelea poa tu. hiyo elfu tano nunua sabuni uvae nguo safi, pia nunua sabuni ya 2000 ya kuogea uache kuogea sabuni xa kufulia kanzu.
mkuu ivyo vyote ninavyo bado unyunyu tu
 
usije ukawa unajipulizia hii
Bidhaa%2Bhaijulikani%2Bmtengenezaji..jpg
Hivi we jamaa ulipotelea wapi
 
Inategemea umenunua wapi. Inawezekana hujapata kitu chenyewe. Watu wanalalmika sana mitandaoni wanaagiza wanapata famba, si kitu chenyewe. Ndiyo maana mimi nakwenda Macys napata kitu na boksi.

Halafu, cologne huwa ina react na kila mtu tofauti. So cologne moja inaweza ikanata vizuri kwenye ngozi ya ntu mmoja, halafu ukawa haikai sana kwenye ngozi ya mtu mwingine.

Pia, nchi/kipindi cha joto na baridi huwa tofauti.

Essenza ninayo pia (now you mentioned it I gotta look for it) lakini hii Aqua kwangu ina point zote muhimu kuanzia kunukia vizuri, projection mpaka longevity.

Ninachooenda kununua Macy's kuna wadada wale wanakuhudumia vizuri, wanakujibu maswali yako yote, wanakupulizia unavyotaka kuinusa kwanza kabla ya kununua kwa hiyo unanunua kitu ambacho harufu yake unaijua, si unajaribisha tu.
Siku hizi Kuna watu wananunua chupa tupu ukimaliza kutumia pafyume
Halafu wanaenda jaza na sindano maji na harufu inakuwa pafyume
Mnaopenda kununua vya rahisi na barabarani Ndio mnapigwa feki bila kujijua
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom