Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Wakati ukiendelea kupata ushauri wa hapa na pale kama JIJI letu ITV

Hakikisha kwapa lako linapita na huyu kiumbe...unaweza ukajikuta unasahau hata hiyo pafyumu kwa utamu wa harufu utao tokea hapa.

zipo flavour tofauti ila ni MUST HAVE PRODUCT kwa kidume mpenda kutesa pua za wengine

Screenshot_1.png
 
Bei?

View attachment 1200969
 
Currently rocking Acqua di Gio, Absolut. By Giorgio Armani.

Niliisahau kitambo, nimeikumbuka leo. So fresh and so clean.
bEI PULIIIIIZZZ

Mkishauri wapendwa msemege na bei sio mtu anaenda anakutana na kitu inauzwa bei sawa na simu anayotumia.
 
Ndio mambo nlokua nayasema mimi...kitu kipo kwenye discount halafu bei ndio hiyo...acha nipambane na Poda mimi
Hii kitu kama hupendi compliments za wake za watu bora ukae nayo mbali. Inanukia vizuri sana halafu inadumu sana. Kuna siku nilipiga nikawa nainusa harufu yake baada ya 16 hours, bila kurudia kuipiga tena.

It is not something I would wear to work, inaweza kusumbua co workers.
 
Nilitaka kuuliza mbona bei yake imechangamka sana,ina kipi cha utofauti..
Mambo ya quality, inanukia vizuri, ina last long, halafu nilipata a good deal chupa kubwa na ndogo double package $100 wakati kubwa tu ni $135 kawaida.

Ukigusa genuine cologne za Armani na Tom Ford kukuta inauzwa $100 sehemu kama Macy's si jambo la ajabu.

Yani ajabu inaweza kuwa bei ni hiyo $100 na si zaidi. Mimi nilinunua kwenye sale ya sikukuu nakumbuka.
 
Hii Aqua di gio Absolu imefifia mno!! Nilijuta kuinunua bora upate original version au Essenza
Inategemea umenunua wapi. Inawezekana hujapata kitu chenyewe. Watu wanalalmika sana mitandaoni wanaagiza wanapata famba, si kitu chenyewe. Ndiyo maana mimi nakwenda Macys napata kitu na boksi.

Halafu, cologne huwa ina react na kila mtu tofauti. So cologne moja inaweza ikanata vizuri kwenye ngozi ya ntu mmoja, halafu ukawa haikai sana kwenye ngozi ya mtu mwingine.

Pia, nchi/kipindi cha joto na baridi huwa tofauti.

Essenza ninayo pia (now you mentioned it I gotta look for it) lakini hii Aqua kwangu ina point zote muhimu kuanzia kunukia vizuri, projection mpaka longevity.

Ninachooenda kununua Macy's kuna wadada wale wanakuhudumia vizuri, wanakujibu maswali yako yote, wanakupulizia unavyotaka kuinusa kwanza kabla ya kununua kwa hiyo unanunua kitu ambacho harufu yake unaijua, si unajaribisha tu.
 
Kiukweli nina version zote za Acqua di gio kuanzia og, profumo, Essenza na Absolu ila hii Absolu to me naona ipo weak mno kuliko hizo zingine.

Na niliinunua Matas Denmark. May be point uliyosema inategemeana mtu na mtu inaweza kuwa na uzito!
Inategemea umenunua wapi. Inawezekana hujapata kitu chenyewe. Watu wanalalmika sana mitandaoni wanaagiza wanapata famba, si kitu chenyewe. Ndiyo maana mimi nakwenda Macys napata kitu na boksi.

Halafu, cologne huwa ina react na kila mtu tofauti. So cologne moja inaweza ikanata vizuri kwenye ngozi ya ntu mmoja, halafu ukawa haikai sana kwenye ngozi ya mtu mwingine.

Pia, nchi/kipindi cha joto na baridi huwa tofauti.

Essenza ninayo pia (now you mentioned it I gotta look for it) lakini hii Aqua kwangu ina point zote muhimu kuanzia kunukia vizuri, projection mpaka longevity.

Ninachooenda kununua Macy's kuna wadada wale wanakuhudumia vizuri, wanakujibu maswali yako yote, wanakupulizia unavyotaka kuinusa kwanza kabla ya kununua kwa hiyo unanunua kitu ambacho harufu yake unaijua, si unajaribisha tu.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom