fordzz
Member
- Mar 26, 2017
- 72
- 65
Daaaaah!! Pamfum yangu ya kwanza, kuanza kununua maunyunyu,Brut ya kitambo sana.... nadhani haitumiki this days
Daaaaah!! Pamfum yangu ya kwanza, kuanza kununua maunyunyu,Brut ya kitambo sana.... nadhani haitumiki this days
Hongera sana sie Tulianza na Cobra... Brut tuliidomea tu kizali zali ya wazeeDaaaaah!! Pamfum yangu ya kwanza, kuanza kununua maunyunyu,
Tumia emotion mkuu ni nzuri sana naitumia huu ni mwaka wa naneKumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo natakiwa kuchagua the best and right one.
Mimi naomba kujua ni pafyum zipi nzuri za kiume?
Msaada tafadhari
bei yake tafadhalFighting temptations
Naipataje bongoParon Poivre,hii natumia hapa Sweden,kama una Dem akisikia lazma asisuke.Ina harufu ya Jasmine.
Imenipatia madem zaidi ya watatu wa kinyarwanda.
Wana Jf naombeni kujuzwa pafyumu nzuri na ya bei ndogo inayofaa kwa wanaume kalibu..
Mkuu, hii spray naipenda kinouma harufu yake.. siku zote natumiaCasablanka
Wewe unatumia ipi?watu wengi waongo humu ndani. watakupoteza tu. wanatafuta majina ya designer mbalimbali wanajidai ndo wanatumia perfumes hizo na wakati asilimia 90 si kweli wanapotosha. we nenda duka la perfume. waambie nina tsh 50,000 naombeni mnioneshe perfume ambazo zinaenda na bei hiyo. watakuoa utajaribu utachukua unayoipenda. hapa wengi watakudanganya danganya tu hamna kitu cha maana utapata.