Pafyumu nzuri kwa mwanaume

jossiest

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Messages
1,225
Points
2,000

jossiest

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2014
1,225 2,000

Fermi

Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
78
Points
150

Fermi

Member
Joined Aug 9, 2017
78 150
Huu uzi kama umepoa siku hizi...

Anyway mwenye review ya haya manukato...
Naona yanasifika sana huko instagram...
Naamin sehemu yenye kupata review za hukika ni hapa tu.Uko kwingine wanaandaga watu wao.... View attachment 1323108 View attachment 1323109 View attachment 1323110

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soma post namba 465 kuna mwamba kaelezea vizuri sana kuhusu hiyo creed aventus na clone yake. Soma kwanza hiyo post maana kaweka mpaka picha ya kitu original.
 
Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Messages
1,602
Points
2,000

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2018
1,602 2,000
Mkuu soma post namba 465 kuna mwamba kaelezea vizuri sana kuhusu hiyo creed aventus na clone yake. Soma kwanza hiyo post maana kaweka mpaka picha ya kitu original.
Mkuu nadhani ujanielewa wacha nikufafanulie...
Club nuit intense by armaf ndio clone bora inayokimbizana na creed aventus..Nimewahi kuitumia lakini katika pita pita zangu mliman city nikabahatika kujaribu clone nyingine zinazotengenezwa hapa bongo...

Hazifanani sana na club nuit intense(sizungumzi aventus original sabab sijawai tumia).Hio clone ina harufu yake ya kitofauti kipekee.Nikaipenda nuit ilipoisha nikaachana nayo...

Sasa mantiki yangu ndugu ni kujaribu hizi clone zetu za wabongo.Mana unaweza ukawa unaagiza manukato ya bei kubwa toka nje.Wakati wenzio for 30k wanapata bidhaa bora zaid hio uliyoagiza.Sent using Jamii Forums mobile app
 
FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
4,192
Points
2,000

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
4,192 2,000
Mkuu nadhani ujanielewa wacha nikufafanulie...
Club nuit intense by armaf ndio clone bora inayokimbizana na creed aventus..Nimewahi kuitumia lakini katika pita pita zangu mliman city nikabahatika kujaribu clone nyingine zinazotengenezwa hapa bongo...

Hazifanani sana na club nuit intense(sizungumzi aventus original sabab sijawai tumia).Hio clone ina harufu yake ya kitofauti kipekee.Nikaipenda nuit ilipoisha nikaachana nayo...

Sasa mantiki yangu ndugu ni kujaribu hizi clone zetu za wabongo.Mana unaweza ukawa unaagiza manukato ya bei kubwa toka nje.Wakati wenzio for 30k wanapata bidhaa bora zaid hio uliyoagiza.Sent using Jamii Forums mobile app
Club nuit bei yake ipoje

Sent using iPhone
 
Mkuu ni kweli nilikuwa sijakuelewa,hapa nimekupata vizuri. Shukrani.
 
Forum statistics

Threads 1,379,788
Members 525,565
Posts 33,756,625
Top