950,000/=Creed aventus inauzwaje jamani
Kuna profondo ni 🔥Oil perfumes za kupima.
Waweza chukua yoyote unayotaka
Suggestion yangu kwako ni Opium black,Creed Aventus au Sauvage.
Sent using Jamii Forums mobile app
nilitumia copy zake zile za 35000 aisee kuna siku manzi alinipigia kuwa bado kwake anasikia harufu ya marashi yangu.hapo wiki imepita tangu niende kwake.950,000/=
Laki tisa na nusu
Copy yake iko kwa 40kCreed aventus inauzwaje jamani