Pafyumu nzuri kwa mwanaume

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
1,117
Points
2,000

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
1,117 2,000
Mentor,

Parfum ina concentration kubwa ya harufu (aromatic pigments) tofautina na eau de toilette... though zinakuwa applied sawa yaani kupulizwa juu ya nguo na sehemu maalum za mwili (kiwiko nyuma ya sikio n.k)

Deodorant ni spray ambayo inapulizwa juu ya mwili.. na yenyewe pia haina concentration kubwa ya harufu.

spray ni hyo container unayotumia ku-apply hiyo parfum, eau de toilette au deodorant.. so hata dawa ya mbu inakaa kwenye spray can..
 

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
1,117
Points
2,000

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
1,117 2,000
msaada tafadhari
ni vigumu kukwambia ni aina gani hasa ya parfum ya kiume ni nzuri kwani hatuwezi kujua chaguo lako hasa.

Parfum makers wanaamini parfum inaendana na personality ya mtu. so kama mimi ninapenda DKNY haimaanishi na wewe utapenda hiyohiyo.

ushauri, kama una hela nenda pale mlimani city kuna duka la parfum. Wale jamaa ni wataalamu watakusaidia kujua ni aina gani unaipenda. kama hutaweza kuafoard bei, chukua jina la hiyo perfume uje uitafute mtaani, hasa pale mwenge.
 

Forum statistics

Threads 1,382,220
Members 526,314
Posts 33,822,403
Top