Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,005
- 173,646
Hii nayo ni nyokoOr Hot Waters. Bonge la perfume..
Hii nayo ni nyokoOr Hot Waters. Bonge la perfume..
Elf 18 maduka mengine 20sh
sh. ngap?
Nafikiri baada ya dola kupanda itakuwa 28sh
sh. ngap?
Duuuuh... hiyo bei imechangamka sana aisee..kama 140,000 TZS
Hii unapata na sehemu ya kuishi?tomford black orchid ......400000/=
Hivi Gucci Bado Zipo?Gucci na Emotion, zimetulia zinadumu na Ziko romantic mno, bei pia ni nzuri
Cobra ni nzuri sana kwakweli.Cobra, simla, na Yu .these are the best of the best.
Bei yake?Mkuu, hii spray naipenda kinouma harufu yake.. siku zote natumia
Njoo nikunong'oneze huku wanaosemaga kizuri gharama na ukipata kizuri kula na mwenzio, na ina Bluetooth, wife na ukijipulizia vinyweleo hufunguka kwa material ya AC, ina madini ya maji kutoka kina cha katikati ya bahari ya Atlantiki itakayokufanya muda wote ikutoe stress.Ina m pesa na tigo pesa?
Hammer perfume hizi huwa zinatengenezwa na industrial policy hawana under licence hawaAnko magu anatumia perfume gan
Kweli mzee?Hammer perfume