Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Ilipo Barclays Branch iliyofungwa sipafahamu brother. Ila ni Kinondoni Road karibu na njia ya kuingilia Usalama, maeneo ya Hugo, ndio duka lilipo.

Kuhusu kwamba sina ofisi, sio kweli. Mteja alionyesha nia ya kuchukua bidhaa kwa jumla (nyingi), na kwa mazingira ya soko yalivyo recessionary kwa sasa, nikataka kama kum delivia flani, kumbe akani doubt akaona sina ofisi. Lakini nimezoea, hata kwenye website ya Amazon, Vercace, Toyota, Mercedes Benz, lazima kuna wateja wameponda na kutoa negative reviews. Ni njia mojawapo ya ku deal na ushindani vile vile. Maana hata yeye alinambia ana network kubwa ya wateja, kwa hiyo ni mshindani, si ajabu akataka kuniponda.

Na kuhusu akaunti yangu ya JF kuwa mpya. Kwa hiyo kwa mfano kama nina duka la simu, magari, nguo, perfume, na nina michango kwenye jukwaa la siasa, na jukwaa la wakubwa, nitumie akaunti hiyo hiyo moja?
Sina nia mbaya ama nia ya kukuaribia biashara.mimi ni mpenzi mzuri wa manukato.na wala sina nia ya kufanya biashara ya manukato ndugu.Tokana na mazingira niliyopo nilitaka nikutengenezee connection kubwa tokana na bei zako kuwa reasonable.pia tulitaka kuepuka usumbufu wa kuagiza watu kutoka nje ya nchi.kwa mazingira yalivyo lazima nipate walakin KIBINAADAM.
 
Nivea dry impact
Nimewahi tumia hii kitu iko poa balaa. Tatizo inaacha vitu vyeupe hasa inapokaribia kuisha. ..watu wengi tunapenda kupuliza kwenye nguo na siyo ngozi hapo ndo kunakua na ugumu wa kutumia NIVEA
 
Acheni hizo, wengi humu mnatumia perfumes za <50k halafu mashauzi kibao kila mtu anajifanya kutumia designer perfumes chaaaa...Come get the same flavors from smart collection for as cheap as 25k. Nichekini inbox for serious orders!!!
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom