Pafyumu gani nzuri ya kiume?

Rich Ze Best

Rich Ze Best

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,637
Points
2,000
Rich Ze Best

Rich Ze Best

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,637 2,000
Ilipo Barclays Branch iliyofungwa sipafahamu brother. Ila ni Kinondoni Road karibu na njia ya kuingilia Usalama, maeneo ya Hugo, ndio duka lilipo.

Kuhusu kwamba sina ofisi, sio kweli. Mteja alionyesha nia ya kuchukua bidhaa kwa jumla (nyingi), na kwa mazingira ya soko yalivyo recessionary kwa sasa, nikataka kama kum delivia flani, kumbe akani doubt akaona sina ofisi. Lakini nimezoea, hata kwenye website ya Amazon, Vercace, Toyota, Mercedes Benz, lazima kuna wateja wameponda na kutoa negative reviews. Ni njia mojawapo ya ku deal na ushindani vile vile. Maana hata yeye alinambia ana network kubwa ya wateja, kwa hiyo ni mshindani, si ajabu akataka kuniponda.

Na kuhusu akaunti yangu ya JF kuwa mpya. Kwa hiyo kwa mfano kama nina duka la simu, magari, nguo, perfume, na nina michango kwenye jukwaa la siasa, na jukwaa la wakubwa, nitumie akaunti hiyo hiyo moja?
Sina nia mbaya ama nia ya kukuaribia biashara.mimi ni mpenzi mzuri wa manukato.na wala sina nia ya kufanya biashara ya manukato ndugu.Tokana na mazingira niliyopo nilitaka nikutengenezee connection kubwa tokana na bei zako kuwa reasonable.pia tulitaka kuepuka usumbufu wa kuagiza watu kutoka nje ya nchi.kwa mazingira yalivyo lazima nipate walakin KIBINAADAM.
 
Bila shuka

Bila shuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
605
Points
500
Bila shuka

Bila shuka

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
605 500
Kaulizie Bashite bonge moja la perfume mjini
 
King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
382
Points
500
King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
382 500
Nivea dry impact
Nimewahi tumia hii kitu iko poa balaa. Tatizo inaacha vitu vyeupe hasa inapokaribia kuisha. ..watu wengi tunapenda kupuliza kwenye nguo na siyo ngozi hapo ndo kunakua na ugumu wa kutumia NIVEA
 
King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
382
Points
500
King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
382 500
Yote tisa kumi essey miyake
Bro hii kitu natumia saivi iko poa kinoma...ila mi natumia designer collection, kuna mtu alinambia ni Feki. Harufu yake lazima uopoe mrembo
 
King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
382
Points
500
King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
382 500
Nenda Najumat au Arusha Mall opposite na Nyerere building TANAPA
Bila shaka ulimaanisha NAKUMATT na AIM MALL, nashukuru ngoja ntatembelea nakumatt wikiendi
 
ms_mimi

ms_mimi

Member
Joined
Jun 23, 2017
Messages
94
Points
250
ms_mimi

ms_mimi

Member
Joined Jun 23, 2017
94 250


Kwa mwanaume perfumes hizi hapa, possess ndio kiboko kabisa. Ina harufu imetulia sio kali na haikeri wala kupalia...

Karibu tuwasiliane ukihitaji perfumes original za kike na za kiume kutoka Sweden 0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,435
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,435 2,000
Paron Poivre,hii natumia hapa Sweden,kama una Dem akisikia lazma asisuke.Ina harufu ya Jasmine.

Imenipatia madem zaidi ya watatu wa kinyarwanda.
Naipataje bongo

Sent from "La -Vista"
 

Forum statistics

Threads 1,336,634
Members 512,670
Posts 32,546,114
Top